Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

suluhisho la hawa M23 ni mazungumzo na Rwanda tu ila kulazimisha mtutu wa bunduki vita aitokwisha kwasababu ni swala la kihistoria.
wakae chini na mr Bucha PK waongee wayamalize.
 
Kwangu mimi nilivyofuatilia sana inaonyesha USA walitaka kuzikamata rasilimali za USA pekeao, wao kama wao, wakamtumia kagame.
Proved tena bro
Marekani wao walivyofanya walimsaidia kagame kila kitu
  • mafunzo
  • Siraha
  • fedha
-na mbinu za kupigana
Ila walishidwa kabisa kumpidua senior kabila coz ya Angola na zimbabwe.

Kumbuka kagame na james kaberebe na RPA soldiers waliukuwa ni sehemu ya jeshi la uganda walipigana vita uganda kumsaidia museveni kuchukua nchi na zille vita vilikua ni miaka kadhaa, na ilichukua maisha ya raia wa uganda kama 500,000. Na pia baadhi ya RPA soldiers walipigana kagera war wakiwa na muse7 ,
Wakapigana tena rwanda miaka Minne , wakapigana tena first congo war kama miezi 6 au 7 hivi, so ni watu alikuwa na uzoefu sana plus kusaidiwa na USA ila walishidwa kumpindia laurent kabila, na ndo watu Waelewe vita sio maneno,
Niliwahi kumsikia jaji mmoja wa ICTR alisema kuwa RPA walikuwa wapo equipped sana coz walikuwa wanasaidiwa.
 
Viongozi wetu wamegeuka madalali wa rasilimali zetu huku na wao wakipata maslahi.

Halafu wala hawajali ukilalamika wanakushangaa
Nchi za africa nyingi hazijielewi sijui kwa nini ngozi yetu tunakuwa wajinga kiasi hiki

Wanaona wao wakishiba nchi hata ikitekwa shauri zenu
Kuna takwimu zilitoka last month Nchi za Afrika zenye gold reserves nyingi
Katika Top 10 nchi zenye asili ya kiarabu tano zimo
Sasa tujiulize why wao wanajitambua kuliko Sisi
Ingawa wengine wananunua dhahabu na kuweka ila sisi sijui tuna kilo ngapi bank kuu kwani wenzetu ni Tani
 
Yes iawezekana kutokana na GDP yao ni kubwa sana.
Ila nimewambia yeyekasema wanavyo ATUONYESHE TUVIONE.
Sasa hujaona vifaa mimi sio kazi yangu kukuonyesha. Kumbe unabisha na hujui, sasa unapata nguvu ya kubisha kutoka wapi.
Ulitakiwa uwe unajua vifaa vyao alafu useme viko inferior au wana quantity ndogo kuliko sisi. Sasa hata silaha zao unataka nikutajie ila ulishabisha
 
Ila mkuu kwa ukanda wetu huu, Kenya wapo 'armed' na silaha za kisasa kweli kweli (nadhani uchumi wao unaruhusu hilo).
T14 Armata
Silaha zao sio za kisasa sana ila ni zaidi ya tulizonazo sisi. Linganisha hata meli zao za kivita walizonunua Spain, linganisha na naval shipyard waliyozindua mwaka huu ambayo ndio kubwa kuliko zote ukanda wa Kusini mwa Sahara.
 
Hivi vifaa vya MRAP, jeshi kuwanavyo inategemeana na uongozi wa jeshi wenyewe, kama wao wanaona nilazima kuwa navyo,
Sidhani Kama serikali za Uganda, rwanda, Tanzania na Burundi hawana uwezo wa kununua , uwezo wanao, ila inategemea na mahitaji ya jeshi na uongozi wanavyoona
Bajeti kama haipo silaha wataziona ila watazikosa. Sasa kama huna MRAP missions ndogo ndogo utaenda na nini, na wakati huo huna APC maana kama umekosa MRAP hata za Mamba kutoka South Africa utaweza consider APC. Troops utawapelekwa kwa mguu kama jeshi la Congo. Kinachotofautisha waasi waliowahi kuwa wanajeshi zamani au waliopokea mafunzo na wana determination kali dhidi ya jeshi la serikali ni silaha.
 
Kagame huyu huyu aliyepitia chuo chetu pale MALINDI?? Mna muoverrate sana huyo kichaaa.

Pamoja na ujinga wake wote ila KAGAME hatoboi kwa TZ.

TZ tumeweka madarakani maraisi Watatu hapa Afrika mashariki.

1. PAUL KAGAME
2. MUSEVEN
3. NDAYISHIMIYE

Pia tulimuwekea JOSEPH KABILA na NKURUNZIZA.

Najua nachosema.
Joseph Kabila + Nkurunzinza hawajawekwa na Tz , yote unayataja ni enzi za mwl na leo tupo enz za mzee wa Msoga , Wabongo ni kama wapalestina ni jamii yenye hopes nyingi kuliko mipango , history haitakusaidia chochote kama hujiongezi , kiukwel Rwanda ana improve sana kijeshi ukanda huu wote ikulu zinalindwa na Watutsi plus maeneo muhimu , vita sio ardh kubwa au watu weng au jeshi kubwa bali ni mipango na ufanis wa kutimiza mipango tu , Rwanda ni nchi ndogo ila ina majeshi rasmi na yasiyo rasmi mengi yenye experience ya uwanja wa mapambano kuliko sisi wazee wa kusapoti Zele akubali kushindwa kisa kazidiwa nguv , maneno yanaeleza akili ya mtu
 
Muambie Putin aje kuwasadia Congo.
Hakuna vita isiyokuwa na maslahi ya upande mmoja
Kagame amevuna sana Congo na bado wanamchekea Yaani hao wakongo 95m wameshindwa kuungana wakatetea ardhi yao
Lakini mwizi mkubwa hapo ni Mfaransa huyu hata Algeria wamemshindwa ni jambazi linalotumia njia nyingi kwa kuwafadhili waasi na hata wenyewe kwa wenyewe

France hakuanza leo kuiibia africa na raslimali zetu
 
Kwani Urusi, BRICS na CSTO wanasemaje??
Au unataka waingilie kama Libya na Syria muanze kutokwa povu nyie Pro Putin?
Cha kusikitisha

UN wako kimya,
EU wako kimya,
NATO wako kimya[emoji848]
Ukraine wako kimya[emoji848]
USA wako kimya[emoji848]
UK wako kimya[emoji848]
 
Mengi uliyoandika yana mashiko ila kwa nini Rwanda huwa inawahifadhi viongozi wa makundi ya waasi wa DRC kama Bosco Ntaganda wa M23 na Laurent Nkunda wa CNDP?
M23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
 
Haya ni madai ya kijinga kama ya Putin alipoivamia Ukraine.
Haya mambo ya Bahima empire conspiracy or sijui Kivu agenda ni upuuzi kwa wale wasiolewa au wakabila na hakuna kitu kama hicho ndio maana huoni SADCC au Africa Kusini maana wanajua kinachoendelea, interest ya Rwanda ni FDLR (wahutu wenye siasa kali waliokimbilia Congo baada ya kushindwa vita) wamepiga kambi Congo kwa nia ya kuvamia Rwanda na kibaya wameenda na ideology yao ya genocide kuua watusi wa Congo (Banyamulenge) na ndio maana M23 ambao ni Banyamulenge nao wako vitani maana stupid Congolese wanafikiri Banyamulenge sio raia wa Congo, kitu kingine utajiri wa Congo kama shamba la bibi kuna makundi yapo pale kwa interest ya huo utajiri tuu na wanajua kama kuna amani pesa haitakuwepo tena, mnasikia M23 tuu lakini kuna makundi zaidi ya 20 yanapigana ndani ya Congo, Rwanda inatumika tuu na media kuonyesha chaos lakini really players wako huko wamejichimbia na majeshi yao migodini na wana mpaka viwanja vya ndege wanachimba na kubeba madini kila siku, na viongozi wengi sana wa Congo wanafaidika na hii chaos na hawataki iishe
 
Upuuzi tu, kwa silaha zile lazima wapigwe, wanatakiwa kutumia silaha nzito , silaha za msaada
 
M23 ni wa Congo mainly kutoka sehemu inaitwa Masisi.
Hii area ilikuwa Rwanda kabla ya wakoloni kugawa mipaka.
Baada ya kugawa mipaka hii sehemu ilijikuta ikiwa ndani ya Congo DRC(Zaire):
Original Congolese bado hawajawakubali hawa kama wenzao, lugha na tabia ni tofauti:
Hawa Rwandese waliojikuta congolese sababu ya mipaka walianza kuonewa na serikali haikuwachukulia kama wananchi wake..
Vuguvugu la kudai haki lilianza miaka ya zamani M23 nimuendelezo tu.
Jina M23 nikukumbusha tarehe ya makubaliano kati ya jamii ya Warwanda waliojikuta Congo na serikali ya Congo.
Kwa madai ya M23 serikali imeshindwa kutimiza makubaliano hayo.
Serikali inasema nyinyi niwanyarwanda rudini kwenu..
M23 wanasema nikweli sisi niwanyarwanda lakini hii ardhi niyetu hatujahamia mababu namababu walizaliwa hapahapa…
It is more complex issue than merely accuse Rwanda..
Rwanda imesema haina faida yoyote kwa kumsaidia M23.
Issue ya ku annex Kivu kwa nchi ya Rwanda, hilo nijambo haliwezekani katika dunia ya leo.
Vita ya hawa watu na serikali inazaidi ya miaka 50 , hata wakipigwa leo watoto wao watapigana tena kama madai yao hayajatekelezwa:
Ukitaka long lasting solution nibora kuangalia sababu ya vita kwanza:
Kuwapiga which is possible hata EAC forces wanajiandaa kuingilia kati itapunguza uzito kwa mda kidogo..
NOTE: I am Rwandese, sina uhakika kama majeshi ya Rwanda kweli yanasaidia waasi.
Rwanda ni nchi masikini kama nchi nyingi za Africa sidhani kama itajiingiza kwenye vita na nchi jirani bila faida yoyote.
Issue ya kwenda kupora rasilimali hazina mshiko , ingekuwa hivyo Congo ingekuwa nchi tajiri duniani.
Maana hizo rasilimali wanazo nawamezikalia miaka na miaka..
Craps
 
Back
Top Bottom