Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

unajua, sote tunakubaliana rwanda wanaihujumu DRC, laaaaakini miaka michache iliyopita jwtz waliifurusha m23 kwa wiki 2 tu. kulikoni sasa hivi?
 
Mk
Sasa mkuu T14 Armata
Sijajua kinachokushangaza wewe hapa Ni Nini Kama zipo nyingine TUONYESHE tofauti na hizi.
Mkuu mimi mwenyewe namshangaa et anasema kenya kuna silaha za kisasa na zakutisha ila kila nikiangalia sioni cha ajabu akiambiwa aoneshe hizo silaha za kutisha anaanza ma Theory yake mara ooh sijui ujui nini mara wewe elewa tu KDF ina silaha nzito za kutisha east and central of afrika yani ukimsoma unaona ili jitu liko na mihemko ila sio fact pia anahali kujiona much know
 
Ww ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
Hii ni extremism na ushamba..
Yaani huwezi kusastain different views:
Sio lazima unachoona wewe kuwa kweli wote tulazimishwe hivyo:
 
Ila mkuu kwa ukanda wetu huu, Kenya wapo 'armed' na silaha za kisasa kweli kweli (nadhani uchumi wao unaruhusu hilo).
T14 Armata
Inawezekana coz ya uchumi wao , ila kwa vifaa alivyosema T14 Armata
Hivyo ninashangaa na ndo maana tunamwambia avionyeshe kama vipi vingine vya sasa zaidi ya hivyo vilivyowekwa. Na ambavyo ni tishio, vinaweza vikawa vya kisasa ila sio tishio.
 
Nkunda ni raia wa Congo pia aliwahi kuwa mkubwa jeshini, mtu kama huyu unamkamataje kirahisi tu? Maana yake Rwanda ilikuwa na taarifa za uwepo wake tangu awali. Pia Nkunda amefungiwa nyumbani kwake sio jela kama wahalifu wengine wa kivita.Hadi leo hajarudishwa Congo, hajapelekwa ICC wala hajashtakiwa nchini Rwanda(ingawa hawana mamlaka), hii inakupa picha gani.

Ntaganda alijisalimisha ubalozi wa Marekani nchini Rwanda, lakini kwanini achague ubalozi uliopo Rwanda na sio Congo, Burundi, Uganda au Tanzania
Hao wote ni sehemu ya 'project' ya Rwanda huko Drc...

...Cha ajabu Rwanda imeshindwa kuitumia hiyo 'project' (Nkunda, Ntaganda, Makenga)kuwamaliza Fdlr.
mtu chake zitto junior
Moronight walker
 
Sasa hujaona vifaa mimi sio kazi yangu kukuonyesha. Kumbe unabisha na hujui, sasa unapata nguvu ya kubisha kutoka wapi.
Ulitakiwa uwe unajua vifaa vyao alafu useme viko inferior au wana quantity ndogo kuliko sisi. Sasa hata silaha zao unataka nikutajie ila ulishabisha
Mmmmh
 
Congo haitakuja kutulia mpaka madini yote yaishe ardhini! Wakati wazungu wanapora Madini ya Congo wanachofanya ni kutoa silaha kwa wakongo na wavamizi kutoka Rwanda wapigane ili wasipate muda wa kufikiri kuleta maendeleo ya Congo.
 
Mkuu hiyo ya Chad ndiyo nasikia,mimi nilijua nI Zim,Angola na wapambe wengine.
Screenshot_20220618-194812_Chrome.jpg
Screenshot_20220618-194827_Chrome.jpg
Screenshot_20220618-194913_Chrome.jpg
Screenshot_20220618-194913_Chrome.jpg


Hao RCD walikuwa upendo wa rwanda walikuwa kama 40,000 troops. Walikuwa ni waasi wa kikongo. Japo baadhi walichnganyika na rwanda kama kuwapa support.
 
Mk
Mkuu mimi mwenyewe namshangaa et anasema kenya kuna silaha za kisasa na zakutisha ila kila nikiangalia sioni cha ajabu akiambiwa aoneshe hizo silaha za kutisha anaanza ma Theory yake mara ooh sijui ujui nini mara wewe elewa tu KDF ina silaha nzito za kutisha east and central of afrika yani ukimsoma unaona ili jitu liko na mihemko ila sio fact pia anahali kujiona much know
Mimi mwenyewe simuelewi ila ambavyo anavyofanya uchambua yupo kitaalamu zaidi , ila sijajua huko kenya kaona nini ila Angejua kilichotekea ukraine huko na vifaa hivi duu acha. Amuulize wa kupuliza
 
Anaitwa general João de Matos wa Angola, kamuulize James kaberebe ndo anamjua vizuri, Huyu ndie aliyezuia operation kitona isifanikiwe,
Na ndio aliyeongoza Angolan troops kuizuia rwanda( tutsi force) na Uganda, na banyamulenge wasimpindue senior kabila mwamba kapigana drc na rwanda shughuli ilikuwa ni mzito balaa.
Screenshot_20220618-201633_Chrome.jpg
João-Baptista-de-Matos-1.jpg
João-de-Matos.jpg
AA745D98-8583-4EF3-9786-B527044FB144.jpeg

Proved mtu chake zitto junior
 
unajua, sote tunakubaliana rwanda wanaihujumu DRC, laaaaakini miaka michache iliyopita jwtz waliifurusha m23 kwa wiki 2 tu. kulikoni sasa hivi?
Vikundi vyenye itikadi za kikabila tangu vinakufa kizembe zembe tu?Mfano hao FDLR ni miaka mingapi Sasa umeshasikia wanapigwa Vita lkn wapo tu.
 
Ongeza Hizir 118 kutoka Uturuki ambazo delivery yake itakuwa imeanza kwahiyo tusizihesabu kwenye inventory. Ongeza Mamba Mk5 wanazotengeneza wenyewe kwa licence ya kampuni ya South Africa. Alafu tafuta quantity ni ngapi kwa aina zote na ambazo hazijatajwa pande zote ulinganishe, na bado kuna kuangalia capabilities. Maana ukitafuta hata wenye stealth fighters Russia yupo, ila yeye anazo Su-57 confirmed ni 6 wakati Lockheed Martin pale Marekani alishatengeneza F-35 zaidi ya 750 kwa washirika na bado kuna F-22 zaidi ya 150 za US only.
 

Attachments

  • IMG_20220618_210646.jpg
    IMG_20220618_210646.jpg
    379.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom