Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,311
- 1,018
unajua, sote tunakubaliana rwanda wanaihujumu DRC, laaaaakini miaka michache iliyopita jwtz waliifurusha m23 kwa wiki 2 tu. kulikoni sasa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi mwenyewe namshangaa et anasema kenya kuna silaha za kisasa na zakutisha ila kila nikiangalia sioni cha ajabu akiambiwa aoneshe hizo silaha za kutisha anaanza ma Theory yake mara ooh sijui ujui nini mara wewe elewa tu KDF ina silaha nzito za kutisha east and central of afrika yani ukimsoma unaona ili jitu liko na mihemko ila sio fact pia anahali kujiona much knowSasa mkuu T14 Armata
Sijajua kinachokushangaza wewe hapa Ni Nini Kama zipo nyingine TUONYESHE tofauti na hizi.
Hii ni extremism na ushamba..Ww ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
Inawezekana coz ya uchumi wao , ila kwa vifaa alivyosema T14 ArmataIla mkuu kwa ukanda wetu huu, Kenya wapo 'armed' na silaha za kisasa kweli kweli (nadhani uchumi wao unaruhusu hilo).
T14 Armata
Hao wote ni sehemu ya 'project' ya Rwanda huko Drc...Nkunda ni raia wa Congo pia aliwahi kuwa mkubwa jeshini, mtu kama huyu unamkamataje kirahisi tu? Maana yake Rwanda ilikuwa na taarifa za uwepo wake tangu awali. Pia Nkunda amefungiwa nyumbani kwake sio jela kama wahalifu wengine wa kivita.Hadi leo hajarudishwa Congo, hajapelekwa ICC wala hajashtakiwa nchini Rwanda(ingawa hawana mamlaka), hii inakupa picha gani.
Ntaganda alijisalimisha ubalozi wa Marekani nchini Rwanda, lakini kwanini achague ubalozi uliopo Rwanda na sio Congo, Burundi, Uganda au Tanzania
MmmmhSasa hujaona vifaa mimi sio kazi yangu kukuonyesha. Kumbe unabisha na hujui, sasa unapata nguvu ya kubisha kutoka wapi.
Ulitakiwa uwe unajua vifaa vyao alafu useme viko inferior au wana quantity ndogo kuliko sisi. Sasa hata silaha zao unataka nikutajie ila ulishabisha
Fdlr hawana uwezo wa kumpindua kagame, anasingizia tuu mr pkHao wote ni sehemu ya 'project' ya Rwanda huko Drc...
...Cha ajabu Rwanda imeshindwa kuitumia hiyo 'project' (Nkunda, Ntaganda, Makenga)kuwamaliza Fdlr.
mtu chake zitto junior
Moronight walker
Mkuu hiyo ya Chad ndiyo nasikia,mimi nilijua nI Zim,Angola na wapambe wengine.
Mkuu ukisoma kwenye ramani ndo utaelewa jinsi walivyo shiliki ila hasa waliokuwa wanapigana kweli kweli na sana walikuwa ni angola na zimbabwe hasa angola.Mkuu hiyo ya Chad ndiyo nasikia,mimi nilijua nI Zim,Angola na wapambe wengine.
Mimi mwenyewe simuelewi ila ambavyo anavyofanya uchambua yupo kitaalamu zaidi , ila sijajua huko kenya kaona nini ila Angejua kilichotekea ukraine huko na vifaa hivi duu acha. Amuulize wa kupulizaMk
Mkuu mimi mwenyewe namshangaa et anasema kenya kuna silaha za kisasa na zakutisha ila kila nikiangalia sioni cha ajabu akiambiwa aoneshe hizo silaha za kutisha anaanza ma Theory yake mara ooh sijui ujui nini mara wewe elewa tu KDF ina silaha nzito za kutisha east and central of afrika yani ukimsoma unaona ili jitu liko na mihemko ila sio fact pia anahali kujiona much know
Share link au rusha hapa mkuuNiliangalia video moja Wanajeshi wa Congo wakiwa front line wakipambana na hao M23.....!
Jeshi la Congo dhaifu sana...!
Mkuu kuna video nimepataNiliangalia video moja Wanajeshi wa Congo wakiwa front line wakipambana na hao M23.....!
Jeshi la Congo dhaifu sana...!
Vikundi vyenye itikadi za kikabila tangu vinakufa kizembe zembe tu?Mfano hao FDLR ni miaka mingapi Sasa umeshasikia wanapigwa Vita lkn wapo tu.unajua, sote tunakubaliana rwanda wanaihujumu DRC, laaaaakini miaka michache iliyopita jwtz waliifurusha m23 kwa wiki 2 tu. kulikoni sasa hivi?
Ongeza Hizir 118 kutoka Uturuki ambazo delivery yake itakuwa imeanza kwahiyo tusizihesabu kwenye inventory. Ongeza Mamba Mk5 wanazotengeneza wenyewe kwa licence ya kampuni ya South Africa. Alafu tafuta quantity ni ngapi kwa aina zote na ambazo hazijatajwa pande zote ulinganishe, na bado kuna kuangalia capabilities. Maana ukitafuta hata wenye stealth fighters Russia yupo, ila yeye anazo Su-57 confirmed ni 6 wakati Lockheed Martin pale Marekani alishatengeneza F-35 zaidi ya 750 kwa washirika na bado kuna F-22 zaidi ya 150 za US only.
Mkuu kuna video nimepata
Nafikili ndio hii
Mkuu kuna video nimepata
Nafikili ndio hii