Powder
JF-Expert Member
- Jan 6, 2016
- 4,977
- 6,635
Madini.Kwani hao rwanda nini hasa wanachokihitaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Madini.Kwani hao rwanda nini hasa wanachokihitaji
Hizi ni mrap ?Ongeza Hizir 118 kutoka Uturuki ambazo delivery yake itakuwa imeanza kwahiyo tusizihesabu kwenye inventory. Ongeza Mamba Mk5 wanazotengeneza wenyewe kwa licence ya kampuni ya South Africa. Alafu tafuta quantity ni ngapi kwa aina zote na ambazo hazijatajwa pande zote ulinganishe, na bado kuna kuangalia capabilities. Maana ukitafuta hata wenye stealth fighters Russia yupo, ila yeye anazo Su-57 confirmed ni 6 wakati Lockheed Martin pale Marekani alishatengeneza F-35 zaidi ya 750 kwa washirika na bado kuna F-22 zaidi ya 150 za US only.
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"Haujui kitu wewe! M23 ni wa congo.
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"
Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.
As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!
je wanajeshi wa Drc wanafanya nn Uganda ss hv , je tuseme Uganda inawahifadhi hao wanajeshi ?Mengi uliyoandika yana mashiko ila kwa nini Rwanda huwa inawahifadhi viongozi wa makundi ya waasi wa DRC kama Bosco Ntaganda wa M23 na Laurent Nkunda wa CNDP?
wabongo hujadili vitu kwa mazoea bila factsElimu yako mbovu, DRC ilikuwa koloni la Ubelgeji, Kifaransa ni lugha mojawapo ya Ubelgeji.
hahahaaaaaNaomba tenda hii nipewe mimi nachukua vijana wa Mujibu Op miaka 50 ya JKT na migambo wa manispaa ya Ilala na Ilemela. Kesho yake nakunywa Chai ndani ya Goma.
acha ubishi watutsi wapo hadi Tz ambao ni watz kbs , sio kila mtutsi ni mnyarwanda inhawaje wapo watutsi wa tz , uganda na burundi wameenda kusaidia m23 either kupambana au kiuchumiWw ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
acha ubishi Ufaransa hajawai tawala Drc , tangu enz na enz Mfalme Leopold alipambania Drc na ndo ikawa kolon la ubelgij mpk Drc inapata uhuru 1960 ,Ubeligij wanaongea kifaransaRudia kusoma history of central Africa uko french alituma assimilation policy
je wanajeshi wa Drc wanafanya nn Uganda ss hv , je tuseme Uganda inawahifadhi hao wanajeshi ?
Watutsi wa kitanzania hao ndio wepi?acha ubishi watutsi wapo hadi Tz ambao ni watz kbs , sio kila mtutsi ni mnyarwanda inhawaje wapo watutsi wa tz , uganda na burundi wameenda kusaidia m23 either kupambana au kiuchumi
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"
Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.
As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!
Mkuu ni kweli kagame ana millitia wanaitwa intore, yaWw ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
Yah za uturuki.Hizi ni mrap ?
Tangu siku hio ndo nikaaza kufuatilia hii migogoro ya maziwa makuu.Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"
Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.
As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!
spyreports.co.ug
Nataka kujua huo mji ambao una wakaazi wasiopungua milioni 2, wako upande wa nchi gani? hao raiwa milioni mbili ni wa nchi gani? Ruwanda ama Congo?Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani
Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una wakazi milioni mbili ambao kama kitovu cha mashirika ya kimataifa ya misaada na ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa
................................................
The Democratic Republic of the Congo’s military has accused Rwanda of “no less than an invasion” after M23 rebels captured a key border town, marking a dramatic escalation in tensions between the two Central African neighbors.
Kinshasa’s military vowed on Monday that its forces would defend their homeland, hours after the Congolese town of Bunagana fell into the hands of the M23.
Bunagana is located 60km (37 miles) northeast of Goma, a city of nearly two million that also serves as a hub for international aid organisations and the United Nations peacekeeping mission, which is known by its French acronym MONUSCO.
“The Rwandan defence forces have this time decided to violate … our territorial integrity by occupying the border town of Bunagana,” General Sylvain Ekenge, spokesman for the military governor of North Kivu province, said in a statement.
Taking the key border town constituted “no less than invasion of the Democratic Republic of Congo”, he added.
There was no immediate reaction from the government of Rwanda, but Kigali has strongly denied accusations over the years that it supports the M23 rebels fighting in DRC.
SOURCE: AL JAZEERA
Tukiwekeana vikwazo tutauwana njaa, kumbuka tunategemeana kiasi fulani mfano tunapopeleka bidhaa tunavuna pesa zao au wanapotumia miundombinu yetu tunapata Kodi yao.Hapa Africa jamaa anahitajika kuwekewa vikwazo ikiwemo kuzuia hata bidhaa zake kuuzwa nchi zingine na kuto kumpelekea bidhaa hata msosi akase tuu.
Pia No fly zone kwa ndege zao.