Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Ongeza Hizir 118 kutoka Uturuki ambazo delivery yake itakuwa imeanza kwahiyo tusizihesabu kwenye inventory. Ongeza Mamba Mk5 wanazotengeneza wenyewe kwa licence ya kampuni ya South Africa. Alafu tafuta quantity ni ngapi kwa aina zote na ambazo hazijatajwa pande zote ulinganishe, na bado kuna kuangalia capabilities. Maana ukitafuta hata wenye stealth fighters Russia yupo, ila yeye anazo Su-57 confirmed ni 6 wakati Lockheed Martin pale Marekani alishatengeneza F-35 zaidi ya 750 kwa washirika na bado kuna F-22 zaidi ya 150 za US only.
Hizi ni mrap ?
 
Haujui kitu wewe! M23 ni wa congo.
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"

Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.

As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!
 
Huu ndio ukweli.
Kagame anafanya michezo ya ki Putin.

Mengi uliyoandika yana mashiko ila kwa nini Rwanda huwa inawahifadhi viongozi wa makundi ya waasi wa DRC kama Bosco Ntaganda wa M23 na Laurent Nkunda wa CNDP?
je wanajeshi wa Drc wanafanya nn Uganda ss hv , je tuseme Uganda inawahifadhi hao wanajeshi ?
 
Ww ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
acha ubishi watutsi wapo hadi Tz ambao ni watz kbs , sio kila mtutsi ni mnyarwanda inhawaje wapo watutsi wa tz , uganda na burundi wameenda kusaidia m23 either kupambana au kiuchumi
 
Rudia kusoma history of central Africa uko french alituma assimilation policy
acha ubishi Ufaransa hajawai tawala Drc , tangu enz na enz Mfalme Leopold alipambania Drc na ndo ikawa kolon la ubelgij mpk Drc inapata uhuru 1960 ,Ubeligij wanaongea kifaransa
 
Wanajeshi wa DRC kuwa Uganda sio ishu, huenda wanapewa mafunzo na jeshi la Uganda au inakuwa rahisi kwao kufanya baadhi ya kazi kutokea upande huo.
Serikali kusaidiana kijeshi ni jambo la kawaida, hata jeshi la Rwanda lilienda Msumbiji kupambana na waasi kwa maombi ya Rais wa nchi hiyo.
je wanajeshi wa Drc wanafanya nn Uganda ss hv , je tuseme Uganda inawahifadhi hao wanajeshi ?
 
acha ubishi watutsi wapo hadi Tz ambao ni watz kbs , sio kila mtutsi ni mnyarwanda inhawaje wapo watutsi wa tz , uganda na burundi wameenda kusaidia m23 either kupambana au kiuchumi
Watutsi wa kitanzania hao ndio wepi?
 
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"

Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.

As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!

Mkuu hio ndio fact baada ya second Congo war USA na UN waliwachukua wanamgambo wa makundi ya uhasi yaliyopigana na Angola, Zimbabwe na jeshi la Congo, wakawaingiza ktk jeshi la Congo, kumbuka wao hao waasi ndio waliokuwa wanafanya ubakaji na uporaji na mauaji Congo na asilimilia kubwa walikuwa Ni watutsi kutoka Congo (wanyamulenge) na Rwanda.

M23 asilimia kubwa kimetengenizwa na watutsi na wamechanganyika na watutsi wa rwanda. Na Nia yao wanataka waingine ndani ya jeshi la Congo na madai yao utashangaa bro, ni ya kipuuzi tuu uwezi ukailazimisha sherikali ifanya Kama wao watakavyo.

Mr Putin huyu anaweza kuwa Ni mtutsi aishie rwanda.

Na ishu ya hima empire Ni kweli

-Mimi mzee wangu alikuwa na Rafiki yake Ni kanali ya JWTZ wametoka wote Kijiji kimoja huko kwao, japo mzee wangu sio afande,

Aliwahi kumwambia kuwa kipindi Cha mauaji ya kimbali kule Rwanda yeye aliendaga na wenzie kwa Mkono wa UN waliwahi kuta documents ktk nyumba za kitutsi kule amabazo zinaeleza imani yao Kama wao,

Yani Hawa jamaa Ni watu wa ajabu ambao wanaamini kuwa wao Ni watu maalum walioubwa na Mungu kwa ajili ya Kutawala Tu, na sio wangine Kama sisi huku bongo ambao Ni wabatu. Na wahutu na huko Congo ambao Ni wabantu. Na ndio wanaoitajika kumiliki ardhi na sio wengine. Yule kanali alieleza vitu vingi Sana nilishangaa mkuu. Sio POA.

Na kinachowashumbua ktk mioyo yao na nafsi zao Ni UKATILI na TAMAA. Ndicho kinachowashumbua.

Ni kweli Watusti wa rwanda wanahitaji kuchukua kipande Cha ardhi Cha Congo na ndo maana walipigana Sana Vita kule ila hawakuweza.

Ni ishu ngumu Sana kufanikiwa kumbuka kule east Congo ndio Vita vilipigwa na ndiko watu watu wengi walipo kufa so Kuna makabila mengi Sana hawawapendi Hawa Watusti so kuchukua ardhi Ni ishu ngumu Sana.
 
Ww ndio hujui kitu, sympathisers wa kagame mpo kwenye kila social medias. Your days are numbered
Mkuu ni kweli kagame ana millitia wanaitwa intore, ya
ni hao ni vijana hasa waliopona genocide, kawachukua na kuwaambia nini cha kufanya hasa kweli social media na kueneza propaganda za kagame wapo kila sehemu hata Humu wapo na inawezekana hata Mr Putin na yeye yupo.
Na lingine wanakuwa wanawatisha watu wanaomsema vimbaya PK , na wanawatisha kinoma, hile mbaya.

Mkuu huo ni uzi uliwahitolewa humu jamii forum cheki jamaa walivyojibu , ndo uamini kuwa wanafuatilia hata humu ndani, mr PK jamaa hapendi kusema vimbaya kufanya maovu mengi sana jamaa.
Screenshot_20220619-095310_Twitter.jpg

zitto junior Proved Count Capone mtu chake
 
Msitake kuchota watu akili hasa wakazi/wenyeji wa Maziwa makuu - they know you like back of their hands specifically hulka zenu za ndio sivyo - sasa unatuletea attachments hizi za kimagamushi ku-prove nini?? Mbona hutuletei machapisho ya manifesto zenu zinazo husu ndoto zenu za muda mrefu za kuazishwa "Hima Empire??"

Kitu cha kujiuliza hapa: Mbona Congo DRC kuna makabila mengi tu - inakuwaje Kabila moja nchini (Wanyamuleng a.k.a M23) humo ndio wajione wao wana haki zaidi ya kuajiliwa kwenye jeshi tena wanalazimisha,vile vile wanataka wapewa vyeo Vikubwa Serikalini wako wired kuchochea vurugu tu nchini Congo DRC mwanzo mwisho, kulalamika tu 24X7 eti: wanabaguliwa na hawatendewi haki - kuiandikia Serikali ya Congo ultimatum watekeleze masharti yao or else-na ukiangalia kwa umakini ultimatum zao zinaonekana ni handout walizoandikiwa na kupewa na paymasters wao wachochee vurugu.

As I said, malalamiko yao ni ya kuchonga tu/manufactured, ukweli wa mambo hizo zote ni mbinu tu za kujenga hoja kwamba wanaonewa na Serikali ya Congo DRC hivyo Umoja wa Mataifa (UN) i-annex Jimbo la Kivu lote ili wapewe uhuru wajitawale, lakini baadae wajenge hoja ya kujiunga na nchi jirani - a very clever ploy -tatizo hapa sijui kama Viongozi wetu wa Afrika kusini mwa jangwa la Sahara hilo wamekwisha lishtukia na - wasipo kuwa makini ku-address tatizo hili to the letter, tutaendelea kupoteza wanajeshi wetu na wa UN huko Congo Wakati Viongozi wetu wa Afrika wanajuwa who is the brains behind endless turmoil kaskazini mashariki mwa Congo na lengo lake ni nini - cha ajabu Viongozi wa Afrika hawana ujasiri wa ku-nip in the bud mtu ambaye anachochea vurugu hizo za kijinga!!! Wanashindwa nini ku-emulate ujasiri wa the late Robert Mugabe, Jacob Zuma, Dos Santos na Jakaya Kikwete - masuala ya Congo sio ya kuchukulia poa hata kidogo!!
Tangu siku hio ndo nikaaza kufuatilia hii migogoro ya maziwa makuu.
 
Bukyanagandi
Kweli mkuu kwa mtu kagame anatakiwa kupewa vikwazo hasa vikwazo, mtu Kama yule aliyehusika na vifo vya Marais wa 3 wa Africa, na vifo vya watu 1 million na 6+ Congo, na hata anatishia kuuwa rais kikwete.
Mtu Kama kunauhitajika was kuweka vikwazo hasa, Cha kushangaza wanopiga kelele Ni Felix na Kenyatta tuu wengine wall, hasa bill kusahau watu kule Congo wanakufa Sana na wamama kubakwa mkuu Ni KITU Cha kusikitisha Sana. Sasa Felix anaomba msaada kwa wengine.

Hapa Africa jamaa anahitajika kuwekewa vikwazo ikiwemo kuzuia hata bidhaa zake kuuzwa nchi zingine na kuto kumpelekea bidhaa hata msosi akase tuu.
Pia No fly zone kwa ndege zao.
 
Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeishutumu Rwanda kwa uvamizi baada ya waasi wa M23 kuuteka mji muhimu wa Bunagana uliopo mpakani mwa Rwanda na DRC, na hivyo kuashiria kuongezeka kwa hali ya wasiwasi kati ya nchi hizo jirani

Mji wa Bunagana ulioko kaskazini mashariki mwa Goma, una wakazi milioni mbili ambao kama kitovu cha mashirika ya kimataifa ya misaada na ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa

................................................

The Democratic Republic of the Congo’s military has accused Rwanda of “no less than an invasion” after M23 rebels captured a key border town, marking a dramatic escalation in tensions between the two Central African neighbors.

Kinshasa’s military vowed on Monday that its forces would defend their homeland, hours after the Congolese town of Bunagana fell into the hands of the M23.

Bunagana is located 60km (37 miles) northeast of Goma, a city of nearly two million that also serves as a hub for international aid organisations and the United Nations peacekeeping mission, which is known by its French acronym MONUSCO.

“The Rwandan defence forces have this time decided to violate … our territorial integrity by occupying the border town of Bunagana,” General Sylvain Ekenge, spokesman for the military governor of North Kivu province, said in a statement.

Taking the key border town constituted “no less than invasion of the Democratic Republic of Congo”, he added.

There was no immediate reaction from the government of Rwanda, but Kigali has strongly denied accusations over the years that it supports the M23 rebels fighting in DRC.

SOURCE: AL JAZEERA
Nataka kujua huo mji ambao una wakaazi wasiopungua milioni 2, wako upande wa nchi gani? hao raiwa milioni mbili ni wa nchi gani? Ruwanda ama Congo?
 
Hapa Africa jamaa anahitajika kuwekewa vikwazo ikiwemo kuzuia hata bidhaa zake kuuzwa nchi zingine na kuto kumpelekea bidhaa hata msosi akase tuu.
Pia No fly zone kwa ndege zao.
Tukiwekeana vikwazo tutauwana njaa, kumbuka tunategemeana kiasi fulani mfano tunapopeleka bidhaa tunavuna pesa zao au wanapotumia miundombinu yetu tunapata Kodi yao.
 
Back
Top Bottom