Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.



Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

Your browser is not able to display this video.



Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani
 
Waaambieni sumu hailambwi
 
wanapoanza kutangaza ndipo wanapoanza kufeli, maana adui mwenye akili atahakikisha hapohapo kwako ulipopachukua kwa upanga haukai kwa amani ili uje akupunguze nguvu zakuja kumdhuru baadae!.
 
Thubutu yao!

Kama wanaongea hivyo basi ujue wanatafuta legitimacy mbele ya waarabu na Waislamu ili waoneksne siyo vibaraka wa Israel na Marekani.

Lakini pia Israel inaweza kuwatumia waanzishe fujo ili ije iwapige huku ikijitanua kwa kutwaa maeneo ndani ya Syria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…