Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Kondoo nakuonaWaaambieni sumu hailambwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondoo nakuonaWaaambieni sumu hailambwi
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
View attachment 3172882
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.
View attachment 3172884
Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.
Tuendelee kuombea amani
Ukimjua mfadhili wa Assad huwezi kushindwa kumjua mfadhili wa ISIS na Al Qaeda 😂Mtaje
Vitisho vya mbowe Kwa mahasimu wakeWaaambieni sumu hailambwi
Dah kwa kile kichapo walichomfanya rasta wenu kweli israel ni hatareMsikiti wa shehe tumbo tunawaasa waache wasije wakafumuliwa puru zao kwa kichapo cha mayahudi. Mayahudi yanatembeza kichapo balaa, tusiyachokoze.
Poo waliomba wenyewe mazayuni walishindwa vita ya ardhiniWawaulize Hezbollah walikuwa na nguvu zaidi yao ila sasa hawana hamu na mzayuni
Ila natamani mariaNdugu zangu waislam tuungane dhidi ya mayahud wakristu na makafiri
Ili siku ya kiyamma molla wetu utujalie tuwe katika wala manasaba wake watakojinyakulia bikra😋
Inshallah
Unasikia toka kwa nani?Mbona nssikia Hezbollah kkamsambaratisha Mzauuni hadi Mzayuni kaomba kusitishwa kwa vita
Israel ANACHINJA KAMA KUKU VIONGOZI WA NCHI ZA KIAARABU MAGAIDI, anapopoa kwenye helicopter Viongozi, kuijaribu Israel ni kujitakia UMAUTI kwa Viongozi bwa hivyo vikundi, watajibiwa soon kwa kauli hiyo, watapopolewa Viongozi wao soonWaaambieni sumu hailambwi
Kaa mbali saaana, kimbia sana ukisikia MOSSAD au IDA Israel Defence Army, ni hatari hawafai,kuwachokoza ni sawa na KUCHEZEA SHARUBU ZA SIMBA 😀😀🤣😀Unasikia toka kwa nani?
Hezbollah imemalizwa nguvu. Israel haikuomba kumaliza vita, iliyoomba ni Lebanon. Ndiyo ilipeleka ombi UN security council, na huko ombi hilo likaungwa mkono na mataifa karibia yote.
Israel imetamka mara kadhaa kuwa pamoja na kuamua kukubali kusistishwa vita, inarudi vitani mara moja, wakikosea kidogo tu, wakakiuka makubaliano. Na tangu ceasefire isainiwe, Israel imekwishafanya mashambulizi kadhaa pale ilipoona kuna ukiukwaji. Na imesema ceasefire agreement ikishindikana implementation itarudi kwenye vita kwa nguvu zaidi ikijumuisha Hezbollah na jeshi la Lebanon, wote atawapiga mara moja.
Western wanataka malighafi zilizojaa mashariki ya kati,wenyeji wanataka kukombia miji iliokwenye himaya za wanaoungwa na western countries.Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
View attachment 3172882
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.
View attachment 3172884
Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.
Tuendelee kuombea amani
Thubutu yao!
Kama wanaongea hivyo basi ujue wanatafuta legitimacy mbele ya waarabu na Waislamu ili waoneksne siyo vibaraka wa Israel na Marekani.
Lakini pia Israel inaweza kuwatumia waanzishe fujo ili ije iwapige huku ikijitanua kwa kutwaa maeneo ndani ya Syria.
Ni vizuri kuwapa furaha ndugu zetu. Sasa kwa kuwa wana aina ya habari wanaxozipenda na mimi nimeamua kuja vil wapendavyo.Unasikia toka kwa nani?
Hezbollah imemalizwa nguvu. Israel haikuomba kumaliza vita, iliyoomba ni Lebanon. Ndiyo ilipeleka ombi UN security council, na huko ombi hilo likaungwa mkono na mataifa karibia yote.
Israel imetamka mara kadhaa kuwa pamoja na kuamua kukubali kusistishwa vita, inarudi vitani mara moja, wakikosea kidogo tu, wakakiuka makubaliano. Na tangu ceasefire isainiwe, Israel imekwishafanya mashambulizi kadhaa pale ilipoona kuna ukiukwaji. Na imesema ceasefire agreement ikishindikana implementation itarudi kwenye vita kwa nguvu zaidi ikijumuisha Hezbollah na jeshi la Lebanon, wote atawapiga mara moja.
Ncha ya mshale haipigwi konzi😂😂Waaambieni sumu hailambwi
Yahudi alishaliona hilo mapema kabla yao. Hata wasingetangaza anajua,wanapoanza kutangaza ndipo wanapoanza kufeli, maana adui mwenye akili atahakikisha hapohapo kwako ulipopachukua kwa upanga haukai kwa amani ili uje akupunguze nguvu zakuja kumdhuru baadae!.
Wapo mbele, hawatadhubutu hata kujaribu. Kila atakayejaribu kupigana na Israel amekwisha.Jerusalem mbali sana apo apo Syria Israel kajimegea eneo kubwa tu waanze apo
Umeona mbali hapa. Ni unajua siasa za mashariki ya katiZote mbili ni valid points
Vita ya wakubwa wa dunia hiiHii vita ina mchanyato mwingi sana