Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.

View attachment 3172882

Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

View attachment 3172884

Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani
😅 😅 😅

FaizaFoxy atahamia huku...

Hawa jamaa hawajalipa deni la Netanyahu, wameshaanza kuwaza mambo mengi sana.

Wanasahau kabisa Kipigo walichokula kutoka kwa Hezbollah na Iran hadi Israel akaamua kutia mguu mwenyewe
 
Kweli kabisa, Israeli hana lolote kazi yake kuua wajawazito mahospitalini halafu anadai anaua magaidi na viongozi wao.
Nendeni mkachukue Jerusalem IDF keshachazwa na Hezbollah mpaka kaomba yaishe.
 
Kuna watu vita ndio biashara yao
Watahakikisha mnapigana kila siku
 
Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem
Siyo sahihi,
Bila Wayahudi kuwalegeza Hezbollah kwa kichapo kikali, hao Waasi wasingeweza kumuangusha Assad kamwe. Kwa hiyo ushindi wao ni kutokana na usaidizi wa Israel (indirectly).
 
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.

View attachment 3172882

Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

View attachment 3172884

Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani
Yaani waende kuiteka Jerusalem na pickups na Noah, kweli ndrugo zangu, acheni utani basi?

ifikie mahali kujikubali tu kwamba vitu Fulani huna na huwezi kua navyo daima na milele. Ridhika tu na mafanikio kidogo uiliyonayo,

vinginevyo maisha yako yatakua mafupi sana na hautakua umemsaidia yeyeto 🐒
 
Kwa mbali namuona netanyahu akitetemeka mpaka mikono kisha anasonya anajisemea wanacheza na moto na hawa

Assad aliaambiwa unacheza na moto yakamkuta

Gaza iliimbiwa itakuwa magofu na imekuwa

Hezbollah wakaambiwa watajikuta wakiwa kama gaza serikali ya Lebanon ikashituka ikawahi ikaomba poo

Ngoja tumsubirie huyu ngosha wa kiyahudi atakuja na tamko gan
 
Ukiwa international unakuwaga hoja kumbe
 
Kwa mbali namuona netanyahu akitetemeka mpaka mikono kisha anasonya anajisemea wanacheza na moto na hawa

Assad aliaambiwa unacheza na moto yakamkuta

Gaza iliimbiwa itakuwa magofu na imekuwa

Hezbollah wakaambiwa watajikuta wakiwa kama gaza serikali ya Lebanon ikashituka ikawahi ikaomba poo

Ngoja tumsubirie huyu ngosha wa kiyahudi atakuja na tamko gan
Naunga mkono usemi wa kenge asikie mpaka atoke Damu 😄
 
Wewe kajadili mambo ya kufikirika ya uchawi na ushirikina,

Haya mambo ya uhalisia huna unalolijua,
Unaishia kuleta vimisemo vya kwenye Kanga tu.
Bora huyo mpiga ramri tunaweza kumuelewa na sio wewe mugwana wa kishia kutokea kibanda maiti huko
 
Kwa mbali namuona netanyahu akitetemeka mpaka mikono kisha anasonya anajisemea wanacheza na moto na hawa

Assad aliaambiwa unacheza na moto yakamkuta

Gaza iliimbiwa itakuwa magofu na imekuwa

Hezbollah wakaambiwa watajikuta wakiwa kama gaza serikali ya Lebanon ikashituka ikawahi ikaomba poo

Ngoja tumsubirie huyu ngosha wa kiyahudi atakuja na tamko gan
awajibu haraka sana wafute ndoto hiyo maana haitawezekana
 
Ndugu zangu waislam tuungane dhidi ya mayahud wakristu na makafiri

Ili siku ya kiyamma molla wetu utujalie tuwe katika wala manasaba wake watakojinyakulia bikra😋

Inshallah
kwamba wakristu hawakuumbwa na mungu wenu ? jitathimin unaeza ukawa unamwabudu shetani bila kujua , mungu haez kukufundisha kufarakana viumbe alivyoviumba yeye mwenyew , wakristu tunafundishwa kupendana bila kujali utofauti wa dini wala rangi wala kabila wala kipato , ila waislam mnafundishwa kukata shingo wasio waislam, , huyu shetan mnamwabudu anaforce kupata waumin ?
 
Natamani iwe kama unavyosema. Natamani pia viongozi wote hapo middle east waondolewe kama Asaad.

Wote wanafanana sio kwamba Assad ni mbaya sana ila kuna wabaya zaidi yake, nao dawa yao inachemka watainywa muda si mrefu
 
😅 😅 😅

FaizaFoxy atahamia huku...

Hawa jamaa hawajalipa deni la Netanyahu, wameshaanza kuwaza mambo mengi sana.

Wanasahau kabisa Kipigo walichokula kutoka kwa Hezbollah na Iran hadi Israel akaamua kutia mguu mwenyewe
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
 
Back
Top Bottom