ndio mjue kwann mliitwa nyumbu!!!Mnakuza mambo ambayo hayapo. Mara Israel imewasaidia mara wataiteka yerusalem.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndio mjue kwann mliitwa nyumbu!!!Mnakuza mambo ambayo hayapo. Mara Israel imewasaidia mara wataiteka yerusalem.
acha mzaha gentleman 🐒Ukiwa international unakuwaga hoja kumbe
Mbowe ni mstaraabu ila siku akiamua azunguke dunianI basi Tz hamtaeza iona tena ccmuVitisho vya mbowe Kwa mahasimu wake
we unahisi Assad katolewa na nan ?Hata kumtoa Assad ilikua ndoto ya mchana mkuu
Hao wanawweza kuwa ni vibaraka wa mazayuni wanacheza na akili zetu.Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
View attachment 3172882
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.
View attachment 3172884
Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.
Tuendelee kuombea amani
Mchokoz nani wewe zwazwa ujasikia Israel anaendelea kuchukua Milima y Golan y Syria apo mchokozi nani embu jibu mnunua udongo kwa tsh 20000.!!Ha haaaa tena hao waasi wa Syria, nasema kwa uhakika, Israel ikiamua inawafuta in a single day kwa njia ya Anga, tena hutawaona tena, sema sasa hivi Israel inafurahia sana Assad katolewa, kwani alikuwa rafiki wa Iran, so Assad kakimbia ni furaha kwa Israel kwa sasa..!!
Ila nasema ila, siku chache zijazo hao waasi wakijichanganya wakaanza kuichokoza Israel, hapo itakuwa mwisho wao kabisa kabisa, subiri uone.
Niliwaambia Mmepanda usafiri w ngili wakizani punda. Sasa kazikazi adi JERUSALEMSasa hivi mtabadili usemi na kuwaita magaidi
Mazayuni si ndiyo yamesalimu amri? Utakuwa unaishi dunia ya kwako peke yako wewe.Wawaulize Hezbollah walikuwa na nguvu zaidi yao ila sasa hawana hamu na mzayuni
Ngoja moto uwanze ndio utajua iyo Sumu aikutoka Mbinguni ila ni Binadam ndio anaitengeneza.Kila mchuma janga hula na wakwao.
Haaaa nilikwambia kaka mtumbwi uwo sio uwo wa kibwengo ukadhalau sasa msianze kulialia msiki adi JERUASALEM kila kitu wanacho Hezbollah wamewajibu wataungana nao kupeleka MOTO.Huo sio msimamo wa THS bali ni Vingrupu vilivyomo ndani yao na wengine ni Euphoria tu za kuikamata Damascus.
Jana nilikuwa namsikilia Erdoğan akisema ataenda Damascus kuswali kwenye Msikiti wa Bani Umayyad halafu ataenda kusoma Quruani kwenye Kaburi la Saladiin kumbuka huyu Saladiin ndie aliyeiteka Jerusalem kutoka kwenye mikono ya Christians
SijakuelewaNgoja moto uwanze ndio utajua iyo Sumu aikutoka Mbinguni ila ni Binadam ndio anaitengeneza.
Wewe Kafiri umekua msemaji wa wengine toka lini? unasema tunaweza,wewe na nani?Bora huyo mpiga ramri tunaweza kumuelewa na sio wewe mugwana wa kishia kutokea kibanda maiti huko
Toka lini Ustadh akawa mjomba wenu Assad alikuwa mpole muoga wa kifo sasa kazikazi adi JERUSALEMHuo sio msimamo wa THS bali ni Vingrupu vilivyomo ndani yao na wengine ni Euphoria tu za kuikamata Damascus.
Jana nilikuwa namsikilia Erdoğan akisema ataenda Damascus kuswali kwenye Msikiti wa Bani Umayyad halafu ataenda kusoma Quruani kwenye Kaburi la Saladiin kumbuka huyu Saladiin ndie aliyeiteka Jerusalem kutoka kwenye mikono ya Christians
Kweli kabisa, Israeli hana lolote kazi yake kuua wajawazito mahospitalini halafu anadai anaua magaidi na viongozi wao.
Nendeni mkachukue Jerusalem IDF keshachazwa na Hezbollah mpaka kaomba yaishe.
Pole nilitaka kumjibu mwengine!!!Sijakuelewa
Syria ilikuwa ni Nchi ya Kikristo Uturuki ilikuwa ni Nchi ya Kikristo mpaka leo Makanisa mumeyavamia na kufanya Misikiti.Toka lini Ustadh akawa mjomba wenu Assad alikuwa mpole muoga wa kifo sasa kazikazi adi JERUSALEM
Watapata wapi silaha? Mambo siyo rahisi hivyo... miundo mbinu yote ya kivita Israel kaihalibuTatizo hao jamaa wakisema huwa wanatekeleza. Siyo jamaa zetu ambao wanatumia ahadi hewa kusalia madarakani