Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Waasi waliomuangusha Assad wa Syria waapa kuendeleza vita hadi kuiteka Yerusalem

Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.

View attachment 3172882

Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

View attachment 3172884

Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani
Hawa wanatafuta pakufia sasa.
 
Haaaa nilikwambia kaka mtumbwi uwo sio uwo wa kibwengo ukadhalau sasa msianze kulialia msiki adi JERUASALEM kila kitu wanacho Hezbollah wamewajibu wataungana nao kupeleka MOTO.
Na wao wakileta za kuleta watapigwa kusema Allah Akbar kwa sauti na kupiga risasi juu wanafikiri wanamtisha nani?!
 
Mazayuni si ndiyo yamesalimu amri? Utakuwa unaishi dunia ya kwako peke yako wewe.

Israel ameliwa vichwa wanajeshi wake kwa mamia unadhani kukubali ceasefire ni hiyari au ameona wanajeshi wataisha.

Israel anachojua ni vita ya madege tu kuharibu majengo lakini ground battle hana uwezo wa kupigana hata na Burundi.
Kama hiki unachokiandika ni kweli ungekuta Hilo taifa limeshafutwa kwenye uso wa dunia na waarabu,
 
Ndugu zangu waislam tuungane dhidi ya mayahud wakristu na makafiri

Ili siku ya kiyamma molla wetu utujalie tuwe katika wala manasaba wake watakojinyakulia bikraπŸ˜‹

Inshallah

molla kamkacha Nasrallah mchana kweupe hushtuki...amkaa

molla kamkimbia na swahiba wako Sinwar.!? hushtukiiii

Hezbollah, Hamas wote Chali kifo cha mendez...

Utakapo mpokea Kristu na kukiri hakuna bikira 72 bali ni utapeli wa Mudi wa kupenda ngono hakika pepo utaitamka Kwa mdomo tu
 
Hii vita ina mchanyato mwingi sana
Siyo kweli, huyo kiongozi wao Al Golan ana akili sana. Hawezi kutengeneza ubishani wowote dhidi ya Washington au Tel Aviv.

Anajua hao ndiyo wenye mamlaka ya kumuacha madarakani au kumuondoa.
 
Ndugu zangu waislam tuungane dhidi ya mayahud wakristu na makafiri

Ili siku ya kiyamma molla wetu utujalie tuwe katika wala manasaba wake watakojinyakulia bikraπŸ˜‹

Inshallah
Kwani kujinyakulia bikra hadi uwachukie hao uliowataja?

Acheni hizo, kwanza hata hizo bikra hamuna mnadanganywa tu. Bora mkaze za hukuhuku duniani.
 
Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.

View attachment 3172882

Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.

View attachment 3172884

Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.

Tuendelee kuombea amani

Wanaanza kuharibu
 
Usilete maneno,leta data Kama nilivyofanya Mimi,,je viongozi wangapi wa Israel wamefariki??,leta na picha zao hapa jukwaani sawa??
Data ndugu wkt uko Israe walijua watafekwa kwa wingi wakawai kupitosha Sheria ya kuzuia Habari zao zisitoke. Tofaut na upande w pili watu wapo huru kupost chochote. MAKOMANDO MBONA AWENGI WAMEKUFA ukiacha IDF wakawaida amba ndio usiseme utaona tu vilio vyao IDF.msimu wamezika IDF wengi acha Ubishi
 
Back
Top Bottom