Hahaha, AMANI kwenye uislamu ni zero.
View: https://x.com/OALD24/status/1866116769368207639
Nitashangaa sana kama Wasyria hawatakubali kukaa kwa Amani na Israel, Imagine Iran Wana Hali gani
Kichekesho Netanyahu sio president ni prime minister hahahahaNi vizuri kuwapa furaha ndugu zetu. Sasa kwa kuwa wana aina ya habari wanaxozipenda na mimi nimeamua kuja vil wapendavyo.
Wakipenda habari huku mtandaoni lazima waje speed kuanzishia nyuzi.
Mfano hii, ni vile tu hawajaipata huko. Lakini wakiipata hii ita forwardiwa kwenye groups zote za MisikitiView attachment 3173001
Hawa watawalisha mchanga wa Israel time will tell.Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
View attachment 3172882
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.
View attachment 3172884
Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.
Tuendelee kuombea amani
Naam, umeniita?
View: https://x.com/clashreport/status/1866137305888534548
Naona hawa ni afadhali, Ni ruhusa kutokuvaa Hijab kwako FaizaFoxy
Maavii,makamu wake kishasema kuingia vitani na iran ni gharama,na juzi trump kasema syria haiwahusu,hatohangaika nayo,uifanye Iran kuwa iraq!?..unaota weweTrump hatoi hela kwa Ukraine kasema, sio Israel, hujui kabisa kuhusu Israel na Trump..!! Tena Trump kasema ata wipe out Iran, kasema wazi wazi, kwa Ukraine hatoi hela kabisa, but kwa Israel, atatoa hela kibao na Iran najua kabisa inaenda kupotea like Iraq, Libya, Syria, pia Yemen itaisha kabisa kwa Trump..!! Najua huamini, mark my words alafu baada ya mwaka utakuja kusema haya nayoandika..!!
Wewe kajadili mambo ya kufikirika ya uchawi na ushirikina,
Haya mambo ya uhalisia huna unalolijua,
Unaishia kuleta vimisemo vya kwenye Kanga tu.
Israel dini pale ni Jewels yani wayahudi wewe endelea kupata maji na chumvi ya upako hapo Ukwamanimolla kamkacha Nasrallah mchana kweupe hushtuki...amkaa
molla kamkimbia na swahiba wako Sinwar.!? hushtukiiii
Hezbollah, Hamas wote Chali kifo cha mendez...
Utakapo mpokea Kristu na kukiri hakuna bikira 72 bali ni utapeli wa Mudi wa kupenda ngono hakika pepo utaitamka Kwa mdomo tu
Hapo ni sawa na kujichosha tu.View attachment 3173056View attachment 3173059View attachment 3173061
Kumbe Hawa nao ni wajawazito???
Wabongo bana mnavyoisifia hiyo army yenu banaKaa mbali saaana, kimbia sana ukisikia MOSSAD au IDA Israel Defence Army, ni hatari hawafai,kuwachokoza ni sawa na KUCHEZEA SHARUBU ZA SIMBA πππ€£π
Hawa ni vichaa. Naona wameshalewa sifa.Waaambieni sumu hailambwi
Maavii,makamu wake kishasema kuingia vitani na iran ni gharama,na juzi trump kasema syria haiwahusu,hatohangaika nayo,uifanye Iran kuwa iraq!?..unaota wewe
Hapo sasa itakuwa wanaruka mkojo kwenda kukanyaga mavi - Hakika hawatarudi salama walikotokea. We ngoja watie timu angalau kwenye viunga vya Jerusalem na sharubu zao ndo watamuelewa Myahudi kwa kina.Waasi walioiangusha serikali ya Assad waapa kuendeleza mapambano ili kuiteka Yerusalem.
View attachment 3172882
Kwa mnaojiuliza sababu za Israel kuitwaa miji mitano ya Syria na vilele vya Hermon baada ya regime kuanguka, nadhani mtaelewa sababu sasa.
View attachment 3172884
Vita ya mashariki ya kati sasa inachukua sura mpya ambapo kila hasimu amepata adui mpya.
Tuendelee kuombea amani
Mbwa anajipeleka mwenyewe kwa chatu.Hawa ni vichaa. Naona wameshalewa sifa.
Povu jingi mno mjombaWewe kajadili mambo ya kufikirika ya uchawi na ushirikina,
Haya mambo ya uhalisia huna unalolijua,
Unaishia kuleta vimisemo vya kwenye Kanga tu.
Walikunguta viwanda vya kutengeneza makombora na kamikazeWamuulize Iran amefikia wapi kuifuta Israel, sembuse wao wasiokuwa hata na ramani?
Vice versa can also be true.The Devil u know is better than the Angel u don't.