Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.

Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya 4 Seasons Hotel.

Mkuu,hawa Waasi wanaongozwa na Intelligence Agencies kutoka Turkey Israel US ndio maana unaona nidhamu yao ya hali ya juu.
Basi tukubaliane wanaoleta machafuko middle east ni wazungu
Hebu nidokeze wanatafuta nini ME kila siku?
Sisi kwetu mbona hawapo nawaona Djibouti na maeneo hayo tu lakini bila vita
Hakuna cha nidhamu wala nini bali kama ni hivyo sema wameambiwa wasimguse huyo ndio Rais ajae
 
Mkuu,hawa Waasi wanaongozwa na Intelligence Agencies kutoka Turkey Israel US ndio maana unaona nidhamu yao ya hali ya juu.
Hakuna taarifa yoyote inayowahusisha waasi wa Syria na Marekani wala Israel bali Uturuki ndiyo inayotajwa hadharani kuwasaidia waasi kumtimua Assad.

Tupo live kufuatilia habari hizi mfano muda huu Waziri mkuu wa Uturuki yupo live kwenye mkutano Doha anajibu maswali ya watu mbalimbali walioshiriki mkutano huo kuhusu mustakabali wa Syria baada ya Uturuki kusaidia kuondolewa kwa Assad.

Tatizo baadhi ya ngozi nyeusi kama wewe ndiyo mnaendekeza kubuni habari kwasababu kifikra mmekuwa brainwashed na watu weupe.

Fuatilia habari ukiwa independently minded sio kuendeshwa na mihemko.
 
Wakuu,

Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.

Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya 4 Seasons Hotel.

View attachment 3172071
Serikali Nchini Syria ambayo imedumu Kwa takribani miaka 54 imeangushwa mapema Jumapili Disemba 8, 2024 baada wanamgambo wa Hay’at Tahrir al-Sham (HTS) kuvamia na kuuteka mji mkuu wa Damascus

Rais Bashar al-Assad wa Nchi hiyo ametokomea kusikojulikana na familia yake huku vikosi vya waasi vilivyovamia Mji huo vikiendelea kupambana na vikosi ambavyo vinamuunga mkono Assad
IMG-20241208-WA0105.jpg
 
Wakuu,

Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.

Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya 4 Seasons Hotel.

View attachment 3172071
Hajakamatwa kwa maana ya kutekwa, Ila Kuna kundi jipya la waasi limeanzishwa kati ya tarehe 6 Dec ambalo linaungwa na Marekani na Israel lenyewe lilianzisha Uasi kutokea Kusini mwa Syria hivyo limekuwa la kwanza kufika Damascus walichofanya wamemuacha huyo Waziri mkuu aendelee na majukumu yake wakati wa Serikali ya Mpito.

Pia kwao inawapa legitimacy kisiasa kwa watu wa ndani na nje kuwa sio waislam wa itikadi kali kama HTS
 
Mkuu,hawa Waasi wanaongozwa na Intelligence Agencies kutoka Turkey Israel US ndio maana unaona nidhamu yao ya hali ya juu.
Ndiyo maana unaona Uturuki wanasherehekea kuondolewa kwa Assad kwasababu ipo wazi kabisa Uturuki alikuwa against utawala wa Assad na alikuwa anasaidia waasi wa Syria hadharani bila kificho.

Fungua International media kama Al Jazeera, CNN na kadhalika ujionee acha kuendeshwa na mihemko.
 
Back
Top Bottom