Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwahiyo tukubaliane taifa feki lililoundwa kwa azimio la UM ndilo linalindwa kwa gharama yoyote?Hata wewe kesho sema "nalifuta Taifa la Israel" utashangaa wanatua juu ya Bati.
Israel iliundwa makusudi na wazungu ili tu kulinda maslahi yao pale middle east sio vinginevyo.
Wewe brainwashed ndiyo unadanganywa eti ni taifa teule la Mungu.
Unless uwe unamaanisha Mungu wa Israel ni Marekani na EU utaeleweka.