Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
😄 unafuatilia kwa ukaribu etiTrump kasema atawatambua Somaliland kwenye project 2025 kwahiyo US Israel na Ethiopia zitapewa Base Emirates ndio mshenga au haujui hilo kwakuwa uko ukimbizini?!
Unamuamini sana Trump au hujui huwa anaongea mengi ila anatimiza machache sana
Hata Latinos wanamjua vizuri kwani walisema wana vote Trump bila kujali maneno yake kuwa atawafurusha
Ndio nakuambia usiamini kila kitu kinachomtoka mdomoni
Halafu mimi sio mkimbizi hapa bali niliingia kwa visa miaka 35 iliyopita
Karibu sana ila sio kwa boat utazama 😄