Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Trump kasema atawatambua Somaliland kwenye project 2025 kwahiyo US Israel na Ethiopia zitapewa Base Emirates ndio mshenga au haujui hilo kwakuwa uko ukimbizini?!
😄 unafuatilia kwa ukaribu eti
Unamuamini sana Trump au hujui huwa anaongea mengi ila anatimiza machache sana
Hata Latinos wanamjua vizuri kwani walisema wana vote Trump bila kujali maneno yake kuwa atawafurusha
Ndio nakuambia usiamini kila kitu kinachomtoka mdomoni
Halafu mimi sio mkimbizi hapa bali niliingia kwa visa miaka 35 iliyopita
Karibu sana ila sio kwa boat utazama 😄
 
Watu hawajajua kuwa waliowah kufika Damuscus na kuichukua ni Kundi linalosapotiwa ba turkey ila ni lile la marekani

Kisha wakawasiliana na hilo
Kundi la HT na kuwekeana mipango
Ya serikali mpya ndio maana hili kundi la HT limekubali huyo wazir mkuu aendelee Kuwa madarakani kwa sasa

Huu mchezo Us, Israel na uturuki hawawez kusema hawahusiki..

This mission had all US tacticts written all over it.. kila kitu kimekwenda kama
Holywood.. na hii ni phase one.. phase 2 kama sio Houthi basi Hzbola..

Sitashangaa mwaka mmoja baadae kusikia yemen au lebabon kimelipuka tena na houthi au hizbola ghafla wanapelekewa moto.. maana. Syria itashikwa na Suni na kumbuka yemen upande wa serikali walikuwa na support ya Suni saudi arabia na Houthi wanasapoti ya shia (iran) .. same to lebanon ambao ni shia.
 
Assad kiarabu maana yake ni Simba, huyu Abu Mohamed Al Jolani ambaye ni Gaidi Mstaafu ni kiboko ya Simba.
Jolani-1024x612.jpg
 
Hivi Kwan unafikiri kwa nini Urusi alimsapoti Assad, infact yeye ndio alitia chambi chambi Assad awe upande wake ili kuzuia project ya Gas, maana anajua gas hiyo ikifika Europe atakuwa kapotezwa pakubww maana Euro watakuwa hawategemei tena gas yake
 
Unachekesha.
Sichekeshi, Son of Hamas kaachana na Ugaidi kaokoka nasasa yuko mstari wa mbele kama shuhuda.
new-york-new-york-mosab-hassan-yousef-speaks-at-a-screening-of-uncensored-footage-from-the.jpg

Sasa hivi amebadili Dini na kuwa Mkristo baada ya kuachana na Ugaidi.
 
Angalia tarehe ya tangazo. Linganisha na terehe ya leo. Unadhani hicho kikundi kimetoa wapi pesa za kununua silaha nyingi na magari ya kutosha kumuondoa assad. Hao waturuki hawana hela hiyo na wao uchumi wao unayumba mno. Huyo ni Mmarekani kamfadhili CIA wake al-Julani
Screenshot_20241208_123358_X.jpg
 
Hawa Magaidi wa Kiarabu wanaijua Game sio hawa wa huku Uswahilini Magaidi "Njaa" kama Alshababu na Boko Haramu.
Wamarekani wamempa CIA wao hela nyingi mno kununua silaha na magari ya kutosha kumuondoa assad, Uturuki wana hali ngumu hawana hiyo hela kufinance waasi wa HTS huyo ni Mmarekani kajificha nyuma ya Uturuki kwa hesabu kali mno. Kiufupi CIA wamejipanga kuliko watu tunavyofikiria.
 
Wamarekani wamempa CIA wao hela nyingi mno kununua silaha na magari ya kutosha kumuondoa assad, Uturuki wana hali ngumu hawana hiyo hela kufinance waasi wa HTS huyo ni Mmarekani kajificha nyuma ya Uturuki kwa hesabu kali mno. Kiufupi CIA wamejipanga kuliko watu tunavyofikiria.
Ndio maana hata Timing ya Vita imeanza baada ya pause ya siku 60😁
 
Back
Top Bottom