Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Wakuu,

Waasi sio kwamba wameamua ku-deal na Bashar Al Assad tu, sasa hivi wamemkamata hata Wazri Mkuu wa nchi hiyo.

Kwenye video inayosambaa kwa kasi mtandaoni, Waasi wa kundi la Dara wanaonekana wakiwa wanamtoa Waziri Mkuu wa Syria kutoka kwenye ofisi yake ambayo ilikuwa ipo kwenye Hotel ya 4 Seasons Hotel.



View attachment 3172071
Huyo naye juha na bwege tu. Msemo wa kunguru muoga hukimbiza bawa lake haupo Syria ? Hakuona Al Assad katimua vumbi ?
 
Ebu nielewesheni nyie wajuzi wa mambo. Inakuwaje prezdent unapinduliwa na waasi wakati military yako wewe, banki kuu yako wewe, central intelligence yako wewe
Zote hizo ni Taasisi na Mchwa wakiamua ZinaColllapse huku unaziona ukiuliza unaambiwa mambo yako under control Mzee...😁
 
The main issue: gas, or more specifically, pipelines

Project one: The Arab Gas Pipeline. Initially conceived as a pipeline connecting Egypt, Jordan, Lebanon, Syria, Turkey, and even Israel, its first phase was completed in 2003. However, construction of the Homs branch never commenced.

Project two: The Qatar-Turkey Pipeline. This project was derailed by Assad's intransigence, as the pipeline was supposed to traverse Syrian territory. Construction never began.

Nimekuta Mahali.. Kama Waasi hatagomabana wakukubali hizi project zifanyike.. Russia itabidi aanze kujiandaa kudhibiti uprisings za kiuchumi
 
Hata wewe kesho sema "nalifuta Taifa la Israel" utashangaa wanatua juu ya Bati.
Maneno yako sio kweli,
Hivi huwa unafuatilia habari kwa undani kabisa
Huwa sipendi kubishana sana mambo haya lakini kiuhalisia Israel haiongezi lolote katika siasa za nchi na nchi na mataifa mengi hawampendi kabisa ndio maana hata visa yao ukiomba wanakupa visa ya karatasi na daima hawagongi passport hivyo hivyo Cuba maana nilipewa karatasi nikiwa Syria na kwenda Havana

Haya masuala ni kusubiri tu kuona yakoje na yanaenda vipi bila ushabiki wa upande wowote
 
Maneno yako sio kweli,
Hivi huwa unafuatilia habari kwa undani kabisa
Mkuu hujasikia kuwa Israel inataka Base Somaliland ili phase two inapoanza aweze kutoa Dozi kwa Magaidi wa Kihouthi in return Israel itaitambua Somaliland anayesubiriwa ni Donald Trump tu.
 
Mkuu,hawa Waasi wanaongozwa na Intelligence Agencies kutoka Turkey Israel US ndio maana unaona nidhamu yao ya hali ya juu.
😂😂😂🙌🙌🙌🏃🏃🏃
Ni mimi Isack Mpayo ITV Dar es Salaam.
 
Mkuu hujasikia kuwa Israel inataka Base Somaliland ili phase two inapoanza aweze kutoa Dozi kwa Magaidi wa Kihouthi in return Israel itaitambua Somaliland anayesubiriwa ni Donald Trump tu.
Unaongelea ya Rais aliepita
Hujui kuwa uchaguzi umepita na kachaguliwa Rais mpya? Au hulijui hilo
Sidhani kama huyu mzee atakubali huu ujinga ila aliepita alikuwa na tamaa sana za hela
Hata Ethiopia pia walisaini MoU upande wa bahari lakini wengi walipinga
Kwa hiyo sidhani kama watakubali hilo
 
Ila Israeli na washirika wake wanashangaza sana, wanaunga mkono hawa waasi alafu bado wanapambana na ugaidi
Wala usiwashangae kwani wao ndio wanaobadili majina jnsi wanavyoona maslahi yao tu
Hawa wangekuwa against nao basi wangeitwa terrorist group
 
Unaongelea ya Rais aliepita
Hujui kuwa uchaguzi umepita na kachaguliwa Rais mpya? Au hulijui hilo
Sidhani kama huyu mzee atakubali huu ujinga ila aliepita alikuwa na tamaa sana za hela
Hata Ethiopia pia walisaini MoU upande wa bahari lakini wengi walipinga
Kwa hiyo sidhani kama watakubali hilo
Trump kasema atawatambua Somaliland kwenye project 2025 kwahiyo US Israel na Ethiopia zitapewa Base Emirates ndio mshenga au haujui hilo kwakuwa uko ukimbizini?!
 
Hakuna taarifa yoyote inayowahusisha waasi wa Syria na Marekani wala Israel bali Uturuki ndiyo inayotajwa hadharani kuwasaidia waasi kumtimua Assad.

Tupo live kufuatilia habari hizi mfano muda huu Waziri mkuu wa Uturuki yupo live kwenye mkutano Doha anajibu maswali ya watu mbalimbali walioshiriki mkutano huo kuhusu mustakabali wa Syria baada ya Uturuki kusaidia kuondolewa kwa Assad.

Tatizo baadhi ya ngozi nyeusi kama wewe ndiyo mnaendekeza kubuni habari kwasababu kifikra mmekuwa brainwashed na watu weupe.

Fuatilia habari ukiwa independently minded sio kuendeshwa na mihemko.
Turkey inatajwa sababu ya kwageka Russia, kumgeuka Assad aliyekuwa aekubali kufungua njia ya silaha kuwafikia Hezibollah ili wapambane na Israel, all over sudden anaruhusu movement zinazoenda kuipa ushindi Israel ilihali muda wote alikuwa busy kufanya maigizo ya kwamba anakamata majasusi wa Israel nchini mwake. Otherwise ni Israel, US na UK walioangamiza wapiganaji waliokuwa wakitoka Iraq kwenda Syria kupambana na vikosi vya waasi.

Turkey ametajwa kwa kuwa ndiye alikuwa njia ya Russia kupita kama ingetaka kwenda kutoa msaada, but Turkey ikasema ingetungua ndege za Russia kama zingepita kwenye anga lake kwenda kutoa msaada wa Assad.
Hivyo Turkey ipo kwenye strategic Geographical area ambayo ni muhimu katika kumfikishia msaada Assad.
Turkey hakutoa msaada wa Kijeshi bali msaada wake ni kutotoa ruhusa kwa ardhi na anga lake kutumika.
Russia_Turkey_Iran_map.png
 
Back
Top Bottom