Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Hajakamatwa kwa maana ya kutekwa, Ila Kuna kundi jipya la waasi limeanzishwa kati ya tarehe 6 Dec ambalo linaungwa na Marekani na Israel lenyewe lilianzisha Uasi kutokea Kusini mwa Syria hivyo limekuwa la kwanza kufika Damascus walichofanya wamemuacha huyo Waziri mkuu aendelee na majukumu yake wakati wa Serikali ya Mpito.

Pia kwao inawapa legitimacy kisiasa kwa watu wa ndani na nje kuwa sio waislam wa itikadi kali kama HTS
Uko sahihi.

Kuanguka kwa utawala wa Assad kumechangiwa na Israel kwa kutoa vipigo kwa Hezbollah na Iran sababu hao ndio waliokuwa wanamsaidia Assad kubaki madarakani kwa kuwapiga waasi.
 
Mkubwa wao juzi alikuwa anaishukuru kwa dhati Israel 😃
IMG-20241208-WA0016.jpg
 
The main issue: gas, or more specifically, pipelines

Project one: The Arab Gas Pipeline. Initially conceived as a pipeline connecting Egypt, Jordan, Lebanon, Syria, Turkey, and even Israel, its first phase was completed in 2003. However, construction of the Homs branch never commenced.

Project two: The Qatar-Turkey Pipeline. This project was derailed by Assad's intransigence, as the pipeline was supposed to traverse Syrian territory. Construction never began.

Nimekuta Mahali.. Kama Waasi hatagomabana wakukubali hizi project zifanyike.. Russia itabidi aanze kujiandaa kudhibiti uprisings za kiuchumi
Ndio maana Dikteta Putin alikuwa anahakikisha Dikteta mwenzake Assad anaendelea kubakia madarakani. Changzmoto ya Ukraine imemfanya ashindwe kutoa msaada kwa Assad aendelee kubakia marakani.
 
😄 unafuatilia kwa ukaribu eti
Unamuamini sana Trump au hujui huwa anaongea mengi ila anatimiza machache sana
Hata Latinos wanamjua vizuri kwani walisema wana vote Trump bila kujali maneno yake kuwa atawafurusha
Ndio nakuambia usiamini kila kitu kinachomtoka mdomoni
Halafu mimi sio mkimbizi hapa bali niliingia kwa visa miaka 35 iliyopita
Karibu sana ila sio kwa boat utazama 😄
Trump akishatamka anatekeleza alichotamka kama Rais wa US.

Mfano milima ya Golan.

 
Kaka Yemen watoe na Hezbollah watoe akuna wakuwapinga aya makundi. Ayo ni Majesh kamili wanaweza kukufanya chochote popote ulipo ndio mana umeona SAUDIA kaomba pooo na Israel nae kaomba pooo kupitia UN ufaransa na marekani akuna majesh yataunganya kwaajili ya ayo makundi mawili jiulize mtatakea nch gani isiogopa kupigwa. Jamaa wana Missile za kwenya popote
Wewe unaleta stories za vijiweni hapa JF!

😃😃😃😃
 
Back
Top Bottom