Sawa lkn usijipe moyo sababu hoja mbili moja Iran iliweza kusambaza missile aina mbalimbali kwa Yemen bila kutegemea Ardhi kwa Ardhi Yemen na Iran zipo mbalimbali sana. Lkn Yemen yupo oky sana kwenye MISSILE kazi ya Iran. Hoja ya pili Hezbollah ilianza kumsumbua israel ata kabla Sadam hussen ajaangushwa. Hii inamana Iran ilikuwa aiwezi kupitisha Ma Boom yake kwenya SYRIA sababu Sadam asingeweza kuruusu uwo mpango pia Tukumbuke Wkt w vita kati ya Iran na Iraq vyamiaka 8 ni SYRIA tu ilikuwa Bega kwa Beda na Iran kwamaana Sadam asingekubali kurusuu Missile zipite ziende Syria. Pamoja na ayo bado Hezbullah alikiwa na nguvu sana kupambana na Israel. Apa nataka niseme Iran inaweza isiwe mwasilika mkubwa zaid ya Russia ambaeHiyo mtajua nyinyi ila Taifa tukufu la Israel ukiligusa umekwisha na Waarabu itawachukua muda mrefu kulijua hilo
Biashara yake ya Gas inaweza kuchacha ikiwa Dill la bomba litasainiwa na mtawala mpya w Syria.