Waasi wamkamata Waziri Mkuu wa Syria muda mfupi baada ya Assad kukimbia. Walimkuta hotelini!

Uko sahihi.

Kuanguka kwa utawala wa Assad kumechangiwa na Israel kwa kutoa vipigo kwa Hezbollah na Iran sababu hao ndio waliokuwa wanamsaidia Assad kubaki madarakani kwa kuwapiga waasi.
 
Ndio maana Dikteta Putin alikuwa anahakikisha Dikteta mwenzake Assad anaendelea kubakia madarakani. Changzmoto ya Ukraine imemfanya ashindwe kutoa msaada kwa Assad aendelee kubakia marakani.
 
Trump akishatamka anatekeleza alichotamka kama Rais wa US.

Mfano milima ya Golan.

 
Wewe unaleta stories za vijiweni hapa JF!

πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…