Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

Wakuu naomba tuamini kabisa kwamba waanga watatapeliwa/kupunjwa na viongozi hawa hawa waliochelewa uokoji. Na ni ofisi hii hii ya Waziri Mkuu
Ni ukweli mchungu. Na kitendo cha kusikia hicho kiasi kuna viongozi tayari washaanza kuchora ramani za mijengo yao mipya.

Wapaka super black kichwani waliochewa kufika eneo husika ndio watakaokula hizo pesa.
 
Nimesikiliza mashuhuda wawili wa ajili na wote ni majeruhi wametoka salama. Mmoja anasema ndege ilikua inapita bukoba ndo iende mwanza.. mwingine akasema ndege ilipita mwanza ndo ikaenda bukoba.
 
Wote kwenye Ndege walikuwa 43. Kwa iyo wote kwa jumla pamoja watapa hivi
170,000,000÷ 43= 3,953,489

Kila mmoja atapapata =3,953,489

Je kijana wetu kipenzi dogo Majaliwa Jackson naye atapata mgao? Yani nitafurahi sana kama atajumuishwa kwenye iyo bima. Wasimsahau jamani hata dollars elfu sabini tu.

Mimi nimepanga nikija Bongo likizo hii sikukuu ya krismas namtafuta mimi mwenyewe binafsi. Nina zawadi zake za kutosha ukiondoa dollars 150 nitakayompa

Mwamba Extrovert na wengine nisaidieni kwenye hilo swali iwapo kipenzi chetu majaliwa atajumuishwa ama anakidhi kwenye iyo bima?
Hilo sina uzoefu nalo ila kama watampa itakuwa vyema sana
 
Hapo inabidi familia za walioguswa kufungua kesi mahakamani
 
Wote kwenye Ndege walikuwa 43. Kwa iyo wote kwa jumla pamoja watapa hivi
170,000,000÷ 43= 3,953,489

Kila mmoja atapapata =3,953,489

Je kijana wetu kipenzi dogo Majaliwa Jackson naye atapata mgao? Yani nitafurahi sana kama atajumuishwa kwenye iyo bima. Wasimsahau jamani hata dollars elfu sabini tu.

Mimi nimepanga nikija Bongo likizo hii sikukuu ya krismas namtafuta mimi mwenyewe binafsi. Nina zawadi zake za kutosha ukiondoa dollars 150 nitakayompa

Mwamba Extrovert na wengine nisaidieni kwenye hilo swali iwapo kipenzi chetu majaliwa atajumuishwa ama anakidhi kwenye iyo bima?

Ni bilioni 116
 
Majaliwa enyewe Hana mtumbwi alitumia wangu na mm ndie niliepiga kasia Hadi kudondosha tecno f1 yangu ..sijajua unataka semaje
Wote kwenye Ndege walikuwa 43. Kwa iyo wote kwa jumla pamoja watapa hivi
170,000,000÷ 43= 3,953,489

Kila mmoja atapapata =3,953,489

Je kijana wetu kipenzi dogo Majaliwa Jackson naye atapata mgao? Yani nitafurahi sana kama atajumuishwa kwenye iyo bima. Wasimsahau jamani hata dollars elfu sabini tu.

Mimi nimepanga nikija Bongo likizo hii sikukuu ya krismas namtafuta mimi mwenyewe binafsi. Nina zawadi zake za kutosha ukiondoa dollars 150 nitakayompa

Mwamba Extrovert na wengine nisaidieni kwenye hilo swali iwapo kipenzi chetu majaliwa atajumuishwa ama anakidhi kwenye iyo bima?
 
Kuna kidume saa hizi kinasimangwa na mkewe kwanini hakupanda precision air japo aokolewe kama sio kufa kabisa ili wapate mgao na wao.

Wakati huo huo ndugu zetu wahaya watapata cha kuongea kuwa wao ajali zao wanalipwa fidia kwa 'madora'.
Chonde chonde marubani msije kutafuta sifa sasa
 
Back
Top Bottom