Waathirika wa ajali ya Precision Air kulipwa Tsh. Bilioni 396

Wakuu naomba tuamini kabisa kwamba waanga watatapeliwa/kupunjwa na viongozi hawa hawa waliochelewa uokoji. Na ni ofisi hii hii ya Waziri Mkuu
Ni ukweli mchungu. Na kitendo cha kusikia hicho kiasi kuna viongozi tayari washaanza kuchora ramani za mijengo yao mipya.

Wapaka super black kichwani waliochewa kufika eneo husika ndio watakaokula hizo pesa.
 
Nimesikiliza mashuhuda wawili wa ajili na wote ni majeruhi wametoka salama. Mmoja anasema ndege ilikua inapita bukoba ndo iende mwanza.. mwingine akasema ndege ilipita mwanza ndo ikaenda bukoba.
 
Hilo sina uzoefu nalo ila kama watampa itakuwa vyema sana
 
Hapo inabidi familia za walioguswa kufungua kesi mahakamani
 

Ni bilioni 116
 
Majaliwa enyewe Hana mtumbwi alitumia wangu na mm ndie niliepiga kasia Hadi kudondosha tecno f1 yangu ..sijajua unataka semaje
 
Kuna kidume saa hizi kinasimangwa na mkewe kwanini hakupanda precision air japo aokolewe kama sio kufa kabisa ili wapate mgao na wao.

Wakati huo huo ndugu zetu wahaya watapata cha kuongea kuwa wao ajali zao wanalipwa fidia kwa 'madora'.
Chonde chonde marubani msije kutafuta sifa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…