kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Timu za Simba SC, Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na RS Berkane hazitaanzia hatua za awali kwenye michuano ya CAF Champions League msimu wa 2025/26.
Timu hizo pia zitapokea kiasi cha pesa Dola 100,000 kutoka CAF kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata za michuano hiyo kuanzia msimu wa 2025/2026
Tuache Mbwembwe, Kama timu yako haipo kati ya hizo kuwa na subra ikue kue kidogo kuwafikia hao vigogo vya soka barani Afrika.