Wababe watano wa soka Afrika ! Hawa hawataanzia hatua za awali michuano ya CAF Champions League

Wababe walikuwa zao USA huko wanacheza na Chelsea na PSG huko! Wengine tuendelee kukusanya alama 😀 tena bora hata Yanga ana alama na yupo top 10 FIFA CAF Ranking, kuna watu wana 0 huko yaani FIFA haiwatambui😀😀😀
FIFA ya wapi ?
 
Timu za Simba SC, Al Ahly, Esperance, Mamelodi Sundowns na RS Berkane hazitaanzia hatua za awali kwenye michuano ya CAF Champions League msimu wa 2025/26.

Timu hizo pia zitapokea kiasi cha pesa Dola 100,000 kutoka CAF kwa ajili ya maandalizi ya mechi zinazofuata za michuano hiyo kuanzia msimu wa 2025/2026

Tuache Mbwembwe, Kama timu yako haipo kati ya hizo kuwa na subra ikue kue kidogo kuwafikia hao vigogo vya soka barani Afrika.
Shadeeya mtani hii taarifa unayo??
 
Nimekusoma Dulla Mbabe!
 
Kiko wapi 🤗
Kamdomo tu. 😀
 
Mkuu kuna Nini?
Leo 09/08/2025 Azam Media watakuwa live kurusha droo ya timu zinazoshiriki club bingwa na shirikisho. Na hili ni tukio la kihistoria linafanyika Dar es Salaam, Tanzania! Badala ya Cairo Misri kama ilivyo zoeleka siku zote.

Kwa Tanzania (Tanganyika) tuna timu nne za Yanga na simba (klabu bingwa), na Azam + Singida Black Stars (shirikisho). Na kwa nchi jirani ya Zanzibar, kuna KMKM na Mlandege bila shaka.
 
Back
Top Bottom