vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 3,128
- 5,862
Huwa tunatafuta kufanya Vizuri nyumbani ili tukwee kwenda juu Kwenye rank za Kimataifa. Sasa timu Yako ukiiona inafanana na baiskeli ya 'mnoa Visu' ujue hapo bado.
Mnoa Visu' anapiga pedeli Lkn anajikuta yupo pale pale.
Mtoa mada kasema Kweli. Wale wote ni Mamba. Sisi tupigane kuwafikia sio kuwabeza.
Simba anayeanzia raundi ya pili na pili aliyechukua kombe la CAF lakini anaanzia raundi ya kwanza, ni yupi mwamba?