Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.

Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi?

Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka without sanitizer.. Sabuni ya unga!!

Usafi hamna, paka wanazurura tu humo. Na ukiangalia yupo town kabisa, kusema anunue hata sanitizer ya elf 10 tu jau, haya mazingira machafu nje na ndani mpangilio wa hovyo..

Kinyozi, unakuta ana tumia lile tambara la kuvalisha hilo hilo. Mwezi mzima, na wengine hawatumii zile sponji wanatumia matambara na hawayafui..

Mimi huwa nawachana kabisa. Rudisha huo uchafu kuliko utoa

Wauza juice nao sasa.. Unakuta mtu wanatengeneza juice ya miwa kwa mfano.. Anakuwa na tabia mbaya ya kurudisha ile juice inayomwagikia pembeni mwa vikombe, na unakuta zile glass hazioshi anazidi giza kwenye maji tu alafu upewe na wewe unywe.. Mimi ni liacha siku nilivyo kuja kuona uandaaji wake ulivyo wa hovyo.

Binafsi wabongo bado tunaishi kama wanyama kabisa, ndo maana mimi huwa nacahgua sehemu moja, ambayo naona huduma zao ziko mwake, na stick hapo hapo..

Jamani wamatumbi badilikeni bwana, haya mazoea mabaya. Ulimwengu Saizi uko mikononi mambo ya kuwa ignorant tuyaache.

Mwenye kuliona hili aongezee nyama, ili watu wajue wanabugi wapi.
 
Mkuu jitahidi uji-upgrade pia kwa kwenda kupata huduma za vyakula mahali pengine penye hadhi nzuri

Pitia hapo 4ways Posta ukaone menu zao

Kama gharama ni kubwa, sogea huo mgahawa wa Afcon 2027 mkabala na Mlimani city, wana vyakula vizuri kuanzia 15,000 pesa za Kitanzania
 
Kama unakula vichochoroni kwa mama ntilie lazimaa haya yakukute..waajiliwa nyinyi ni kundi la waomba Mungu , lazima mpate huduma za mpata mpatae kulingana na kipato chenu..Yaani uagize lunch ya elfu 30 afu unataka meza safi na mazingira ya 5 star, unaumwa sio bure
 
Leo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.

Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi?

Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka without sanitizer.. Sabuni ya unga!!

Usafi hamna, paka wanazurura tu humo. Na ukiangalia yupo town kabisa, kusema anunue hata sanitizer ya elf 10 tu jau, haya mazingira machafu nje na ndani mpangilio wa hovyo..

Kinyozi, unakuta ana tumia lile tambara la kuvalisha hilo hilo. Mwezi mzima, na wengine hawatumii zile sponji wanatumia matambara na hawayafui..

Mimi huwa nawachana kabisa. Rudisha huo uchafu kuliko utoa

Wauza juice nao sasa.. Unakuta mtu wanatengeneza juice ya miwa kwa mfano.. Anakuwa na tabia mbaya ya kurudisha ile juice inayomwagikia pembeni mwa vikombe, na unakuta zile glass hazioshi anazidi giza kwenye maji tu alafu upewe na wewe unywe.. Mimi ni liacha siku nilivyo kuja kuona uandaaji wake ulivyo wa hovyo.

Binafsi wabongo bado tunaishi kama wanyama kabisa, ndo maana mimi huwa nacahgua sehemu moja, ambayo naona huduma zao ziko mwake, na stick hapo hapo..

Jamani wamatumbi badilikeni bwana, haya mazoea mabaya. Ulimwengu Saizi uko mikononi mambo ya kuwa ignorant tuyaache.

Mwenye kuliona hili aongezee nyama, ili watu wajue wanabugi wapi.
Huwa nakula kwa mama Ntilie kwa Emergency ila sio kwa kupanga

Ila ndo tumelelewa hivyo kuanzia mwenye biashara hadi wafanyakazi
 
Mkuu jitahidi uji-upgrade pia kwa kwenda kupata huduma za vyakula mahali pengine penye hadhi nzuri

Pitia hapo 4ways Posta ukaone menu zao

Kama gharama ni kubwa, sogea huo mgahawa wa Afcon 2027 mkabala na Mlimani city, wana vyakula vizuri kuanzia 15,000 pesa za Kitanzania
Najua ila siwezi ishi lifestyle nayo jua hainipi comfortability kiuchumi.

Kuna spots zangu najua napata bei chee na mazingira yako mwake
 
Back
Top Bottom