Nenda Kenya, Rwanda au kuna watu wachache ambao wanajua kupangilia vizuri.. Hata hapa bongo kuna wachache wanajua kupangilia ila idadi kubwa wanaishi kimazoeaKama unakula vichochoroni kwa mama ntilie lazimaa haya yakukute..waajiliwa nyinyi ni kundi la waomba Mungu , lazima mpate huduma za mpata mpatae kulingana na kipato chenu..Yaani uagize lunch ya elfu 30 afu unataka meza safi na mazingira ya 5 star, unaumwa sio bure
Na Mimi naomba hizo code niwe napitia kubadirisha ladhaNajua ila siwezi ishi lifestyle nayo jua hainipi comfortability kiuchumi.
Kuna spots zangu najua napata bei chee na mazingira yako mwake
Kuna kigori kimoja kipo mbuyuni kigamboni yule Dada anajua kutengeneza juice.Na Mimi naomba hizo code niwe napitia kubadirisha ladha
Kuna restaurant moja pale Masaki niliagiza juice nikanywa, nililipia shilingi 5,000 Ile juice, lakini niliumwa tumbo siku 2 nashinda nikiendesha 🙌
Tangu hapo nimekuwa selective sana kwenye kunywa juice za kutengeneza
Vipi ushapata chombo linggine la kula?Ulaya? Mimi na Ulaya wapi na wapi?
una akili timamu unakaa kabisa unakunywa juice ya miwa we fala nini😀, tena pale stationwLeo ukitembelea magoli ya watu wenye biashara zao, ni machafu hakuna conducive environment na hospitality.
Mm huwa nashangaa hivi nyie wamatumbi huwa hamwoni namna bora ya kumfanya mteja ajihisi yuko Sehem sahihi?
Unaingia kula chakula sehemu meza hazijapangiliwa, maji ya kuna wa mtu kaweka without sanitizer.. Sabuni ya unga!!
Usafi hamna, paka wanazurura tu humo. Na ukiangalia yupo town kabisa, kusema anunue hata sanitizer ya elf 10 tu jau, haya mazingira machafu nje na ndani mpangilio wa hovyo..
Kinyozi, unakuta ana tumia lile tambara la kuvalisha hilo hilo. Mwezi mzima, na wengine hawatumii zile sponji wanatumia matambara na hawayafui..
Mimi huwa nawachana kabisa. Rudisha huo uchafu kuliko utoa
Wauza juice nao sasa.. Unakuta mtu wanatengeneza juice ya miwa kwa mfano.. Anakuwa na tabia mbaya ya kurudisha ile juice inayomwagikia pembeni mwa vikombe, na unakuta zile glass hazioshi anazidi giza kwenye maji tu alafu upewe na wewe unywe.. Mimi ni liacha siku nilivyo kuja kuona uandaaji wake ulivyo wa hovyo.
Binafsi wabongo bado tunaishi kama wanyama kabisa, ndo maana mimi huwa nacahgua sehemu moja, ambayo naona huduma zao ziko mwake, na stick hapo hapo..
Jamani wamatumbi badilikeni bwana, haya mazoea mabaya. Ulimwengu Saizi uko mikononi mambo ya kuwa ignorant tuyaache.
Mwenye kuliona hili aongezee nyama, ili watu wajue wanabugi wapi.
Nitapita kuonja siku mojaKuna kigori kimoja kipo mbuyuni kigamboni yule Dada anajua kutengeneza juice.
Anajua tena anajua tena.. Anakuuzia buku 3 ni kama smoothie mjomba, alaf mkizoeana unaweza kunywa ukawa unalipa kwa mwezi..
Vipi hali ya usafi huko ulikoajiriwa?Mimi ni mwajiriwa mkuu.
Tunapambana na 9 to 5 jobs
Hapo umesha sema unapenda uchafuWabongo tunapenda uchafu, mimi kiukweli nina kinyaa.. hata kitendo cha kumuona mpishi hajachana nywele nawaza down kuko vipi? Na mikono hiyo hiyo anaitumia kujishika inayokata nyanya..!! 😥
Napinga hilo swalaVipi hali ya usafi huko ulikoajiriwa?
Elewa kwamba: Uchafu ni inversely proportional na elimu.
Nikimaanisha kwamba wahudumu au wamiliki wa hizo sehemu unazoenda kula wana elimu ndogo.