Wabongo hawana ubunifu kwenye biashara zao na maisha kwa ujumla

Nenda Kenya, Rwanda au kuna watu wachache ambao wanajua kupangilia vizuri.. Hata hapa bongo kuna wachache wanajua kupangilia ila idadi kubwa wanaishi kimazoea
 
Najua ila siwezi ishi lifestyle nayo jua hainipi comfortability kiuchumi.

Kuna spots zangu najua napata bei chee na mazingira yako mwake
Na Mimi naomba hizo code niwe napitia kubadirisha ladha

Kuna restaurant moja pale Masaki niliagiza juice nikanywa, nililipia shilingi 5,000 Ile juice, lakini niliumwa tumbo siku 2 nashinda nikiendesha 🙌

Tangu hapo nimekuwa selective sana kwenye kunywa juice za kutengeneza
 
Kuna kigori kimoja kipo mbuyuni kigamboni yule Dada anajua kutengeneza juice.

Anajua tena anajua tena.. Anakuuzia buku 3 ni kama smoothie mjomba, alaf mkizoeana unaweza kunywa ukawa unalipa kwa mwezi..
 
una akili timamu unakaa kabisa unakunywa juice ya miwa we fala nini😀, tena pale stationw
 
Kuna kigori kimoja kipo mbuyuni kigamboni yule Dada anajua kutengeneza juice.

Anajua tena anajua tena.. Anakuuzia buku 3 ni kama smoothie mjomba, alaf mkizoeana unaweza kunywa ukawa unalipa kwa mwezi..
Nitapita kuonja siku moja

Mimi huwa ni mpenzi wa juice ya tende/korosho/maziwa

Si unajua Wazee tunahitaji vitamini Kila wakati 😅

Juice yenyewe huo mchanganyiko, huwa nakunywa hapo Ubungo Maziwa kwenye hizo restaurant za Moveck hotel
 
Wabongo tunapenda uchafu, mimi kiukweli nina kinyaa.. hata kitendo cha kumuona mpishi hajachana nywele nawaza down kuko vipi? Na mikono hiyo hiyo anaitumia kujishika inayokata nyanya..!! 😥
 
Wabongo tunapenda uchafu, mimi kiukweli nina kinyaa.. hata kitendo cha kumuona mpishi hajachana nywele nawaza down kuko vipi? Na mikono hiyo hiyo anaitumia kujishika inayokata nyanya..!! 😥
Hapo umesha sema unapenda uchafu

Mbona unajipinga wewe mwenyewe ewe winga?
 
Vipi hali ya usafi huko ulikoajiriwa?
Elewa kwamba: Uchafu ni inversely proportional na elimu.
Nikimaanisha kwamba wahudumu au wamiliki wa hizo sehemu unazoenda kula wana elimu ndogo.
Napinga hilo swala
Kwa wenzetu hata hapo Kenya tu, au Rwanda hawana huu ujinga.

Wanajali mazingira, na ni wasafi. Binafsi najua usafi haujifunzi shule, ni kitu unacho kijenga kwa tabia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…