Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Jamani Kiranga UMUGHAKA yaishe msije shia pata ban bure. Kila mtu afanye anachoweza. Unaye omba kusaidiwa kama kiranga hawez kukusaidia usilaumu, ukute sio mlango wako huo. Watatokea wengine watakusaidia.
Msije kosana hata sura hamfahamiani.
Ban itoke wapi?

Na kwa nini unafikiri tunatakiwa kukubaliana muda wote?
 
Watu kama wakina nani?

Hivi kwa akili yako unadhani nategemea msaada?Huo msaada wapelekee ndugu zako.

Mimi Marekani lazima nije kwa juhudi zangu na uwezo wangu binafsi,nyie endeleeni na roho mbaya zenu na uzwazwa wenu
Sasa kama unaweza kuja Marekani kwa juhudi zako mwenyewe kwa nini unaomba msaada na kulialia JF?
 
Mkuu nadhani shika hamsini zako maana wewe ni TAPELI na huna chochote zaidi ya U - MUCH KNOW wa kijinga,hakuna cha maana ulichofanya tangu uishi nje zaidi ya ujuaji na ujinga tu
Yani hizi fake ID tayari umeshamjuwa Kiranga nani na amefanya nini na nini hajafanya?

Nimekushauri mkurya mwenzako wa Rorya Makongoro yupo Wall street New York anaitwa John Mashaka hebu mwambie akusaidie kama unadhani ni jambo rahisi.
 
Yani hizi fake ID tayari umeshamjuwa Kiranga nani na amefanya nini na nini hajafanya?

Nimekushauri mkurya mwenzako wa Rorya Makongoro yupo Wall street New York anaitwa John Mashaka hebu mwambie akusaidie kama unadhani ni jambo rahisi.
Mkuu hebu nipumzishe na hiyo Dr yako feki.

Wewe endelea kuzeeka huko bila chochote cha maana zaidi ya ujuaji wa kijinga na sifa kutoka kwenye ukoo wenu ila naamini hakuna unachonizidi
 
Hivi anajua kuna wakati ili upate permit wazungu wanaweza kukuuliza maswali ya kipuuzi kama vile'Mara ya mwisho kulala na mkeo ulifunga goli ngapi'.
Sasa kwa jazba hizi si ataishia kuwatukana tu🤣
Na siku hizi wana mchezo wa kupitia social networks account zako zote, sasa wale lopolopo na kupost ujinga kazi wanayo.
 
You are not only ignorant, you are also boring.

I can tolerate ignorant people.

I can tolerate boring people.

But I can't tolerate a person who is both ignorant and boring.

I am sending you to my ignore list.

From here, I will no longer see your posts.
Wewe ni zumbukuku na limbukeni
 
Nobody, apart from the parents who brought you into this world, is obligated to help you.

And even parents are obligated only to a certain age.

So, when seeking help, humble yourself.

This is a very basic principle in life.
Mkuu hebu nipe mchongo wa kufika huko majuu kwa ajili kazi.....😊
 
Wewe umsaidie nani wewe!

Wapo wabongo wakutoa msaada ila si wewe mwenye Kiranga na kutaka kutukuzwa!.Tutawasaka hata Wakenya watasaidia maana nyie mmejawa majungu,roho mbaya na wivu
Jina lenyewe lina jieleza ni kiranga 🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hivyo hayo madawa walimpandikizia?

Siku hizi kukutana nyumbani na watu usiowajua vizuri ni risk kubwa.

Sasa hapo huoni kila mtu analaumu watu wa jamii yake kwa sababu anawajua sana?
Ndivyo anavyodai kuwa walimpandikizia.
Na alivyokamatwa wabongo walifurahia sana hadi wakawa wanaonesha furaha yao waziwazi huko facebook walijua atafungwa.Sasa hivi hana rafiki.mbongo akijisikia kuongea kiswahili anapigia ndugu zake Tz.

Ni kweli nyumbani sio pakupeleka watu hovyo hovyo.

Ndo nilichomaanisha mkuu.Wabongo sio kama ni watu wabaya kuliko mataifa mengine bali mazoea ndo yanaleta shida.Siku zote mtu akikuzoea hata kama unamzid anahisi mnalingana na ndio chanzo cha kuharibiana ili mlingane vizuri.

Binafsi mim hata hapa bongo sipendi mazoea kabisa na majirani zaid ya mambo ya kijamii tu.
 
Back
Top Bottom