Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wale wa mtoni kuna jambo lenu huku jamani🤔🤔🤔
 
'US ya sasa sio kama ya zamani' -Maneno ya mwanandugu dayaspora.Tusubiri kuletewa simu zilizovuja wino,raba oversize na majaketi tu.Michongo kwa mbongo sahau roho mbaya sana .Halafu walivyo washenzi wakija wanakulazimisha upige picha huku umetabasamu.Natabasamu vipi huku hali mbali .Sitabasamu chochote.Stupid.
[emoji16][emoji16][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji23][emoji23]
 
  • Kicheko
Reactions: EEX
Sikutaka kuzungumza kwa undani sana juu ya hili ulilosema Mkuu. Ila itoshe kusema kuwa unachosema ni sahihi kabisa na nimekuwa nikikisema sana kwa jamaa zangu wanaopenda sana kufika ughaibuni ili watoboe kimaisha. Ukiwaambia hali halisi ili wafanye maamuzi kulingana na uhalisia ulivyo wanaishia kusema ' wewe hupendi wenzako wafanikiwe ndio maana hutaki wafike ughaibuni'.

Wao wanapenda kuambiwa mambo rahisirahisi tu. Mfano kwa sasa Ulaya kuna wimbi kubwa la wakimbizi na hata hizo kazi za box zimekuwa za taabu. Nchi kama Netherlands ni very innovative kwenye job creation ila kazi za box zimeanza kuwa ngumu. Nchi nyingi zinaendelea kuweka masharti magumu ya kuingia ili kudhibiti mafuriko ya watu wanaoingia. Juzi tu UK wameweka bans kwa Nigerians wanaoenda kusoma kuleta wenza wao kuanzia January mwakani.

Ila eti unakuta mtu yupo tayari kutumia karibia 20-50M ili afike ughaibuni. Hajui akifika anafanya kazi gani na atafanikiwa baada ya muda gani. Yeye anachotaka ni kufika tu Ulaya. Wakati akiwa na hizo pesa anaweza kubakia nyumbani na akafanya jambo na akatoboa vizuri tu. Kisha akawa anakuja Ulaya kutalii ama kufanya biashara endapo atakuwa na mtaji wa kutosha. Hivi mfano ukitumia 20M kununua Ng'ombe wa maziwa nyumbani labda wawe Ng'ombe 20, baada ya miaka mitano utakuwa katika hali gani? Badala watu walete mada tushirikishane maarifa ya namna ya kutumia fursa za nyumbani kujiletea maendeleo wao wamekariri stories za miaka ya 90's kwamba maisha yapo ughaibuni pekee.

Wakati watu wanaishia kuishi maisha ya kuunga unga na hawana uhakika hata wa kuhuisha resident permits zao zinapoisha muda wake. Mwishowe wanaishia kuwa scammers kama wafanyavyo Nigerians. Mie nitamuelewa jobless pekee aliyeko bongo na akafanyiwa mpango wa kufika ughaibuni ili angalau afike na afanye hizo kazi za vibarua ambazo bongo hazipo. Ila nitam-challenge huyo mtu endapo zitatumika pesa zaidi ya 20-30M kumsaidia ili afike tu ughaibuni. Sasa unakuta mtu mzima mwenye familia anateketeza karibia 50M afike Ulaya ambako hata uhakika wa kazi ya kufanya hana. Yaani kakariri tu kwamba akifika Ulaya tayari anatoboa maisha. Huku ndiko kudhani kila mzungu anafahamu English sawasawa. Ama kila Mzungu ni tajiri. Kumbe na wao kuna walio choka tu.

Sasa unamwambia mtu, ughaibuni unakosema si lelemama kama unavyodhani. Si jambo lakufika na kufanikiwa kwa muda mfupi unaodhani. Ukweli ni kuwa watu wanaofika ughaibuni, wanaotoboa ni wachache ukilinganisha na wenye maisha ya kuunga unga. Na ndio maana watu wengi hawapendi kabisa kuja hata nyumbani. wanaishia tu kupiga picha za kwenye barabara nzuri na majengo mazuri wakati wa summer ili waonekane wanaishi pazuri huku usiku unapofika anaenda kulala kwenye chumba kimoja cha kubanana watu zaidi ya wanne. Yaani unakuta watu wengi wanaishi maisha ya kawaida tu na pesa zao zinaishia kulipa bills kama mdau mmoja aliyesema hapo juu. Watu wengi waliotoboa ni wale walioishi miaka mingi na wakapata nafasi ya kupata kazi nzuri sehemu nzuri. Sio hizi za vibarua vya kuunga unga ambavyo utaishia kulipia bills tu. Labda kwa Marekani maana sijawahi kufika. Ila siyo kwa Ulaya nilikofika.
Ulikuwa nchi gani mkuu?
 
We naye fala tu ,kujifaragua kama malaya wa kimboka ,kwanza sidhani hata upo States na kama upo huko ,wewe ndio hao hao malimbukeni kama unaowalalamikia hapa ,wengi mmeopigwa na maisha na mnaishi paycheck to paycheck Kwa minimum wage ,ndio maana mna roho mbaya na chuki za kisenge , mna survive Tu , huna lolote wewe makalio ya nyani wewe .

Na hizo unskilled jobs zenu za kudeki vyoo na kubeba maboksi zinaenda kuisha kama hizo retail na Amazon wanafanya layoffs za maelfu ya watu , huo upuuz wenu wa kudharau watu utaisha tu we subiri tu .
This fallacy is called ad hominem.

Plus a lot of making shit up.

Hawa ndio watu wanaotaka kusaidiwa?

Halafu wasiposaidiwa utashangaa nini?
 
We kiranga watu wanakula za uso pale embassy acha acha....

Consular anakuuliza maswali chapchap hata hasikilizi, utasikia next, hapo umetupwa hakuna cha visa[emoji848]
Mkuu,

Katika mahusiano ya kimataifa nchi ina uhuru wa kukataa kutoa visa kwa mtu yeyote kwa sababu yoyote au hata bila sababu.
 
This fallacy is called ad hominem.

Plus a lot of making shit up.

Hawa ndio watu wanaotaka kusaidiwa?

Halafu wasiposaidiwa utashangaa nini?
Nani anataka msaada tako wewe ,? , Unafikiri kila mtu humu ana njaa za kwenda kudeki vyoo huko na kubeba maboksi kama wewe ?

Idiot
 
Kwanini wa Tz tuna makasiriko hivi? Mbona hii mada ilikuwa kueleweshana tu halafu inakuwa fresh fresh[emoji1690].
 
Sasa povu la nini?

Unaweza kujadili hoja bila kumtukana mtu?
Acha tabia za kichoko wewe , umenikera sana mwana kakuuliza ishu fresh we unamtolea majibu ya kike kike na maneno ya kejeli hapa , halafu unakandia watu as if wewe ni nani sijui , hivi ninyi Kenge huwa mnajikuta nani ? ,Au ndio madhara ya kuathirika kiakili kutokana na ufukara ? , Huko kubeba mabox na kudeki vyoo ndio mnaona dunia yenu na kila mtu takataka au kinyago au sio ? ,halafu mnaanza kutoa maneno ya kike humu , eti mnaonewa wivu , fools .
wewe na wapuuz wenzako acheni ufala .
Gadem mazafaka#@£-##££#%$¢^π

No wonder mnafanya upuuz Tu huko wa kubrag vyakula hadi nguo za ndani ,pumbav zenu ,bora Trump arudi madarakani afukuze takataka zote ninyi mnaoongeza mzigo tu humo na hamcreate value yoyote , just parasites ,akili za inzi.
 
Huna hoja, unaleta viroja.

Straight to ignore list.
 
Duh!

Mbona jamaa ana hasira sana na wewe?

Ulimfanya nini?
Labda matatizo ya maisha yanamfanya ashindwe kuelewa hasira zake azipeleke sehemu gani iliyo sahihi.

First of all, watu wengi inaonekama hawaelewi kwamba nobody here is obligated to help anybody.

So why the false sense of entitlement?
 
'US ya sasa sio kama ya zamani' -Maneno ya mwanandugu dayaspora.Tusubiri kuletewa simu zilizovuja wino,raba oversize na majaketi tu.Michongo kwa mbongo sahau roho mbaya sana .Halafu walivyo washenzi wakija wanakulazimisha upige picha huku umetabasamu.Natabasamu vipi huku hali mbali .Sitabasamu chochote.Stupid.

Wewe ulimpeleka huyo diaspora?

Kama alijipeleka na wewe jipeleke. Failures zako sio shida zangu.
 
Wewe ulimpeleka huyo diaspora?

Kama alijipeleka na wewe jipeleke. Failures zako sio shida zangu.
Hakuna cha kufeli nazungumzia kusaidiana tena kwa watu wenye nasaba moja na kwa bahati nzuri we sio ndugu yangu wala sijawahi kukuomba msaada wowote .Kaa kwa kutulia.
 
Hakuna cha kufeli nazungumzia kusaidiana tena kwa watu wenye nasaba moja na kwa bahati nzuri we sio ndugu yangu wala sijawahi kukuomba msaada wowote .Kaa kwa kutulia.
Nasaba si msingi wa kusaidiana.

Kuna watu hawana nasaba ila wanaelewana vizuri na kusaidiana, na kuna watu wana nasaba na wanapigana risasi.
 
Hakuna cha kufeli nazungumzia kusaidiana tena kwa watu wenye nasaba moja na kwa bahati nzuri we sio ndugu yangu wala sijawahi kukuomba msaada wowote .Kaa kwa kutulia.

Wakati unasema diaspora ulisema ndugu zako?

Kama mindugu yako Ina roho mbaya mbona unajumuisha diaspora wote?

Maisha yako ni jukumu lako, ndugu zako wamefika huko kwa juhudi zao wewe endelea na makasiriko ya reja reja uone kama utafika popote. Utakula vumbi Hadi upauke
 
Nilishafafanua na nikaomba samahani kwa kufanya generalization.Unataka nini kingine?
 
Back
Top Bottom