Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
9 december ikiwezekana wakina mama na watoto wapelekwe vijijini wakatulie, hii show tubakie vijana tuHakuna video zilizoniumiza kama hiyo ya huyo mmama amevalia sweta la purple nadhani ile ni Arusha, pamoja na ile ya mochwari ya Mwananyamala watu wamelundikwa kama ndizi kwenye mkungu 🙌
Hizo video mbili zimeniumiza mno na ziliniliza.
Naam, this time tumejiandaa.9 december ikiwezekana wakina mama na watoto wapelekwe vijijini wakatulie, hii show tubakie vijana tu
😹😹😹
Aisee kweli mkuuNafkir umejifunza...bdo hujachelewa...wapo wengi dizain ya ww na wenyew wameamua kubadilika baada ya kuona hzo clips...kilichofanyika ni ushetan unaotakiwa kupingwa na kila binadamu awaye na akili na utu
Amin nashukuru sana ndugu yangu nyinyi ndo ndugu zetu hao wapo kwa ajili ya Mali wanatutumia TU sisi kwa mgongo wa utawalaNakubatiza msamaha katika Jina la Yesu Kristo pokea na usimrudie Ibilisi Sheitwan wa kijani kamwe
Alhamdulilah amen!
Nashukuru sanaNakubatiza msamaha katika Jina la Yesu Kristo pokea na usimrudie Ibilisi Sheitwan wa kijani kamwe
Alhamdulilah amen!
Nisamehe mkuu sikutegemea kama ni mkatili kiasi hiki moyo wangu umeumia sana nisameheni wakuuNilikuwaga nakushangaa sana kipindi kile unampigia debe huyu mama shetani kisa dini yako na dini yake ni moja
InshaallahTuna jambo letu
9dec tukutane.
Bro hao Wana bunduki tubuni njian mbadala ima tuwe wapole kwenye maandamano wakitushambulia tupambane tuwanyanganye alafu kiwake, Huwa najiuliza kama Wana mafunzo kweli si waweke silaha chini twende mtu mbili spaaNaam, this time tumejiandaa.
Kaka Hawa jamaa ni wakatili sana Hawa wataua hata watoto wetu wadogo kama tusipo wawahi amini nawaambiaNafkir umejifunza...bdo hujachelewa...wapo wengi dizain ya ww na wenyew wameamua kubadilika baada ya kuona hzo clips...kilichofanyika ni ushetan unaotakiwa kupingwa na kila binadamu awaye na akili na utu
Hakuna Maandamano ya kuondoa serikali afu yawe ya amani, hakuna kitu kama hicho.Bro hao Wana bunduki tubuni njian mbadala ima tuwe wapole kwenye maandamano wakitushambulia tupambane tuwanyanganye alafu kiwake, Huwa najiuliza kama Wana mafunzo kweli si waweke silaha chini twende mtu mbili spaa
mbaya zaid hawajui sijui we ni chama tawala au lah....kuna watu walitoka kupiga kura asubuh jion wakapigwa chuma....hii order anayotoa huyu ni kama amechanganyikiwa au Mungu amempga upofu ili iwe rahisi kuangushwaKaka Hawa jamaa ni wakatili sana Hawa wataua hata watoto wetu wadogo kama tusipo wawahi amini nawaambia
Aseee nmejiuliza unapiga risasi watu kibarazani makwao dah, hivi lengo lilikua ni ninimbaya zaid hawajui sijui we ni chama tawala au lah....kuna watu walitoka kupiga kura asubuh jion wakapigwa chuma....hii order anayotoa huyu ni kama amechanganyikiwa au Mungu amempga upofu ili iwe rahisi kuangushwa
Tubuni bendera ya Tanganyika Kila tarehe 29 oktoba tunapeperusha nusu mlingoti wao hawatoweza, meja wa jeshi alidai asilimia kubwa wao viongozi ni wakimbizi sio watanzania ndo mana hata hili jambo hawashituki tupiganie taifa letuHakuna Maandamano ya kuondoa serikali afu yawe ya amani, hakuna kitu kama hicho.
Watakufa wachache, Ila wengi watatimiza lengo.
Waliokufaa watakumbukwa kama mashujaa