Alex khalifa
JF-Expert Member
- Oct 22, 2025
- 278
- 516
- Thread starter
- #61
Nashukuru mkuu, mi na yeye tuna utofauti yeye bado haja jishusha nakukubali kuwajibika huo ukatili umemshshia heshima sana nilikua namheshimu sana ila hapana heshima imefika mwisho,Mleta mada huna tofauti na kimama , kafanikisha adhma yake anajifanya kutoa pole ya kinafki wakati mwanzo alisema walioandamana ni raia wa kigeni.