Kuna namna naona kwa angle tofaut...kuna maaskari waliamua kuua makusudi ili hasira za wananchi ziwe juu na kuweza kuja front na kuiangusha serikali...lkn pia kuna wale walikuwa wanaua kwa aitha malipo au ni makada wa chama kindaki ndakiAseee nmejiuliza unapiga risasi watu kibarazani makwao dah, hivi lengo lilikua ni nini
Tumekusamehe ila tutakupiga fainiInshaallah
Nisameheni ndugu zangu Kuna watu hawajui maumivu tunayopitia huyo ingekua live namjua nilikua nawasha gari nampitia namrudia kumalizia KABISA hao ndo wanao Fanya tunapoteza mama zetu, kaka zetu na wadogo zetu kisa vimishaharaHapa umerudia tusi baada ya kuona hapo juu halijaonekana dadeqqq!! 🤣
Pole sana uwe na amanNisamehe mkuu sikutegemea kama ni mkatili kiasi hiki moyo wangu umeumia sana nisameheni wakuu
Sikujua lengo lake ndugu yangu Niko radhi Nije Niku lambe miguu ilimradi TU nisamehewe nijitoe kwenye hiyo laanaSamahani yako kazi bure km ulippiga kura
Sikujua lengo lake ndugu yangu Niko radhi Nije Niku lambe miguu ilimradi TU nisamehewe nijitoe kwenye hiyo laanaSamahani yako kazi bure km ulippiga kura
ChaiKatika harakati za uchaguzi NILIKUA mwana ccm damudamu, nikimuombea kura rais wetu Samia nilileta Uzi, rejea Uzi wa, tumuache Samia amalize muda wake ukiisha ataondoka, lengo lilikua kumpigania ili aendelee na awamu nyingine, sikufahamu kesho yangu na yetu, nilipiga kura na kuondoka zangu, tarehe 30 ilinikuta nje, ghafla nilipata taarifa kwambia Hali si shwari bongo nilichukulia poa sana lakin mara ghafla nikajuzwa Hali ni mbaya sana internet ilipozimwa bongo ndo nikaamini Hali si nzuri,na kuendelea, Jana katika pitapita zangu, mtandaoni nikakutana natukio la kusikitisha, mama mmoja mwenye sweta la purple anakimbia mara akapigwa risasi akaanguka mwanae sijui ni nani ALIKUA amevaa barakoa, akainama chini huyo dada akamgeuza kuona damu chini nilisikitika sana hivi ni kweli Hawa polisi walio nilea Dodoma nyumba ya hospitali ya rufaa ndo wamekua wakatili hivi, wale polisi nilioangalia nao mpira Simba na yanga tunashangilia pamoja ndo Hawa?, ndo Hawa walioni stili hapo Dodoma nikisoma chuo dca college,kweli ndo wanafanya haya, no no no, siamini bado
Nilioangalia hiyo clip hakika nilitaka kulia barabarani hivi zile kampeni tulizo piga ndo malipo yake haya, kumpiga risasi huyo mama ambae hata jiwe hawezi rusha vizuri?, alafu mama huyo ni kopi lait na mama yangu mzazi alie nisomesha kwa shida akichoma vitumbua, aisee sijui TU hio kesi ili kua inaishaje huenda nyumba yake nyumba yangu ingekua mara kwanza najifunza ujambazi wa kutumia silaha sijui kisasi kinge mpata nani? Inaumiza kweli watz tumefikia hapo naona clip eti Hadi traffic nao walilia na mabunduki wakipiga watu risasi, Hawa traffic tunao Cheka nao barabarani kweliiii mnaua NDUG zetu simple like that, aisee nisameheni sitorudia tena ndugu zangu Niko chini ya miguu YENU Yani unalundika watu kawa unarundika Kuni kweli hii ndo tanzania tuitakayo kweliii nimeumia sana ogopa sana chozi la mtoto wa kiume lisilo na kelele, mungu hatuna silaha kama wao, hatuna bunduki kama wao ila wewe ni WA wote
Nashukuru ndugu yangu mungu atubariki wote, waliobaki HUKO wengi sio watanzania amini mtanzania wa kweli huwezi jikaza kwa hizo clip ndugu yangu yule mjeda alizungumza Hilo na wengi Wana vyeo serikalin ndo mana hawateteleki tuikomboe Tanganyika NDUG zanguAlex Khalifa, mshukuru Mungu aliyekuonesha na kukupa hekima ya kugundua kuwa ulikuwa upande wa shetani, ukimshabikia shetani, na sasa amekuonesha ubaya wa huyo shetani. Tambua kuwa wapo wengi wanaishi na kumtukuza shetani kwa kutenda uovu mpaka siku ya mwisho, wakiamini ni watu wema.
Nina imani, pale ulipouona uovu wa watawala wa nchi, na ukasononeka na kuumia moyoni, na kutambua kuwa kumbe ulikuwa unawashabikia wauaji, pale pale ulipokea msamaha wa Mungu.
Ukiwa umeokolewa kutoka kundi la wauaji, tambua kuwa Mungu wetu ni Mungu wa haki, anatutaka tutende haki, tuitangaze haki, tuitafute haki na kuilinda haki, hasa kwa wale wenzetu wanaonewa. Neno la Mungu linasema, "Heri wenye njaa na kiu ya haki; Maana hao watashibishwa. Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Nisameheni ndugu zangu Kuna watu hawajui maumivu tunayopitia huyo ingekua live namjua nilikua nawasha gari nampitia namrudia kumalizia KABISA hao ndo wanao Fanya tunapoteza mama zetu, kaka zetu na wadogo zetu kisa vimishahara
Acha TU mkuu NIMEKOSA MIMI oho NIMEKOSA nisameheweHatari sana
Sawa dada angu nimekuelewa lakini hakukuwa na haja ya yeye kunitusiPoleee Alex khalifa
Binadamu tunatofautiana vile tunavyoyachukulia mambo,huyo uliyemtukana unaona yanayotokea lakini kaamua kubaki anapoamini ni sawa kwake
ChaiAiseee mkuu akili zangu ziliniambia hii inshu ni ya kawaida ndani ya siku chache tuta sahau lakini kwaa kinacho ebdelea natamani kutupa simu inaumiza kwa kweli
Asante sanaTumekusamehe mkuu
Hiyo ajira hatakaaShammy ajira mpya kwahiyo yeye kila kitu kwake sawa hata kwenye kutikisha alilamba asal
Msaliti hapewi msamaha.Acha TU mkuu NIMEKOSA MIMI oho NIMEKOSA nisamehewe
Basi bwana mkuu amini unavo aminiChai
Sawa dada angu nimekuelewa lakini hakukuwa na haja ya yeye kunitusi
Haina shida mkuu mungu akinisamehe inatosha sio lazima wewe, nme OMBA msamaha sababu ya wale walio uliwa kinyama bila sababu yenye mashikoMsaliti hapewi msamaha.
Shukrani mkuu vita tunazipiga kotekote wakija huku tunao wakitupeleka KULE tunao ndo kama huyo angenijibu tena sijui NINGE pigwa ban ngapi nmeanda matusi lakin hakurudiYeah, hata hivyo umetisha kumtukana back
Inaweza kuwa ila Hawa jama ata elimu zao ni ndogo sana hawezi kung'amua mambo wao ni fatafata TU masikiniKuna namna naona kwa angle tofaut...kuna maaskari waliamua kuua makusudi ili hasira za wananchi ziwe juu na kuweza kuja front na kuiangusha serikali...lkn pia kuna wale walikuwa wanaua kwa aitha malipo au ni makada wa chama kindaki ndaki