Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

Kujua wateja wako ni kitu kikubwa katika biashara. Azam amelenga raia wa kawaida hao unaowaita waswahili na ndio maana kaweka ligi kuu na tamthlia za kisw kibao.
Azam mara zote wao huduma huwa zinalenga kukusanya fedha kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi. Na biashara ya namna hii ndio ina faida zaidi.
Leo azam ana wateja zaidi ya laki 8 wakato dstv anao lak moja na elfu themanini.
Mind you mimi azam tv nliitumia miaka kama 4 iliyopita nikarudi zangi dstv

DSTV imekuwepo hata kabla ya hao AZAM na itaendelea kuwepo!
 
Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!

Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!

Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!

Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.

Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.

King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.

DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.

Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV
Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.

Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una comment ukiwa wapi mkuu
 
Malalmiko-fc.com
 
Siku azam akipata mshindani kwenye kuonesha mpira kwenye ligi ya Tanganyika basi kifo chake kitakua kimefika rasmi, huo mpira wenyewe hua wanajitahidi kidogo kuonesha vizuri kwenye uwanja wa taifa lakini huko kwingine ni upuuzi tuu, hata startimes ni king'amuzi bora kuliko azam, DStv hana mpinzani kabisa huku chini ya jangwa
 
Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.

Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.

Lazima nikutaje ili ndugu zako wa Butiama wajue upo!
 
Channel gani hy ya Azam wanakatisha matangazo na kuweka kipindi kingine.?

NB: Usije kuzungumzia kukatisha kipindi ili kipindi cha live kiende hewani.
Kuna siku naangalia mahojiano na captain wangu Bakari Nondo ghfla wakakata kikaingia kipindi cha jamaa mmoja anazunguka mitaa ya Zenji anawahoji hakikua live ni recorded na sio hicho tu kuna siku wanamuhoji Lyanga, Zimbwe na Sureboy na kipindi hakiishi wanaingiza jambo lingine. Au sometimes kwenye information wanaweza kwa sasa ni makala ya michezo unakaa unatulia uangalie lakini kinachokuja kuoneshwa ni tofauti kabisa
 
Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.

Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo
Nakupenda bure 😊
 
Back
Top Bottom