TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #21
Kujua wateja wako ni kitu kikubwa katika biashara. Azam amelenga raia wa kawaida hao unaowaita waswahili na ndio maana kaweka ligi kuu na tamthlia za kisw kibao.
Azam mara zote wao huduma huwa zinalenga kukusanya fedha kidogo kidogo kutoka kwa watu wengi. Na biashara ya namna hii ndio ina faida zaidi.
Leo azam ana wateja zaidi ya laki 8 wakato dstv anao lak moja na elfu themanini.
Mind you mimi azam tv nliitumia miaka kama 4 iliyopita nikarudi zangi dstv
Mnabishana kuangalia tv
Na Bado ya Nyooooooooooko!Azam tv NA BADOO
Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.Salamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!
Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.
Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.
King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.
DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.
Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una comment ukiwa wapi mkuuUkianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.
Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
Malalmiko-fc.comSalamu nishamuachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa huko Butiama (Nyamuswa),kwangu ukisuburi salamu uenda utasubiri hadi jiwe ligeuke kuwa Dhahabu!
Tukiwa kwa watu tumawaponda sana DSTV ila tukiwa makwetu kusonya,kunung'unika na kuwasagia kunguni Azam ni jambo la kawaida!
Mimi Binafsi siwezi kuwaacha DSTV kwasababu wana kila kitu ninachokihitaji!.DSTV siyo kwa ajili ya Masikini ( Hoehae) bali ni kwa ajili ya watu wenye Vipato vya kati na wenye uwezo (Matajiri),hawa jamaa bahati nzuri wamejenga standards zao ambazo haziwezi kufutika leo wala kesho!
Tatizo la AZAM wamekaa ki-Local sana na kwenye King'amuzi Chao hakuna cha maana zaidi ya Uswahili na Udini!.
Mimi binafsi sijawahi kusumbuliwa na DSTV kwasababu pia natumia king'amuzi cha PREMIUM ambacho kina kila kitu ninachohitaji!.
King'amuzi cha AZAM ukipitia nyuzi kadhaa humu members wanalalamika kuhusu remote zake na huduma mbovu wanazopata kutoka kwa huduma kwa wateja!.
DSTV atabaki the Best KING'AMUZI Kutoka kusini mwa Jangwa la Sahara kuliko hao AZAM wenye Uswahili na Udini kila Uchwao ambao members kadhaa wameendelea kuwalalamikia hapa!.
Tangu ninunue DSTV leo no mwaka wa 7 na sijawahi kuona remote yao ikisumbua,hayo mambo ya kusumbua kwa remote ni mambo ya uswahili wa AZAM,Acheni wa Ushuani tuenjoy Good Life kutoka DSTV
Kimboka.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] una comment ukiwa wapi mkuu
Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.
Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo.
Channel gani hy ya Azam wanakatisha matangazo na kuweka kipindi kingine.?Unaweza kuta kipindi kinaonyeshwa ghafla wanakata matangazo wanaingiza kipindi kingine.
Uliipata wapi mkuu,naitafuta sanaMimi natumia canal napata Kila kitu nachotaka
Kuna siku naangalia mahojiano na captain wangu Bakari Nondo ghfla wakakata kikaingia kipindi cha jamaa mmoja anazunguka mitaa ya Zenji anawahoji hakikua live ni recorded na sio hicho tu kuna siku wanamuhoji Lyanga, Zimbwe na Sureboy na kipindi hakiishi wanaingiza jambo lingine. Au sometimes kwenye information wanaweza kwa sasa ni makala ya michezo unakaa unatulia uangalie lakini kinachokuja kuoneshwa ni tofauti kabisaChannel gani hy ya Azam wanakatisha matangazo na kuweka kipindi kingine.?
NB: Usije kuzungumzia kukatisha kipindi ili kipindi cha live kiende hewani.
Hizo pesa zimsaidie aongeze efficiency kwenye kazi yake otherwise upepo utabadilika anytimeUzuri n kwamba azam anaingiza pesa nyingi kuliko huyo DStv kwa hapa Tanzania
Nakupenda bure 😊Ukianzisha Uzi bila Kumtaja mwenye Nyota yake Kali Kimvuto ya Kiuwasilishaji GENTAMYCINE ili nae aweke Baraka zake kamwe hauwezi Kuchangamkiwa Kuchangiwa na JamiiForums Members.
Asante sana na mno Mwenyezi Mungu kwa kunifanya niwe "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" nilivyo
Congo DRCUliipata wapi mkuu,naitafuta sana