Wabongo tuache unafiki wa kumkandia DSTV na Kumpa sifa AZAM wakati huohuo hao AZAM huko majumbani kwetu tunabaki kuwalaumu na kulalamika kwa huduma mb

Mimi ni mteja wa AZAM, lkn niliwahi kuwa Mteja wa DSTV siku za nyuma.

Haina UBISHI kama Huna pesa AZAM ndo Kimbilio na mtego mkubwa kwa sasa ni NBC PREMIER LEAGUE.

DSTV hawa ni INTERNATIONAL ni dhambi kubwa mno kufananisha DSTV na AZAM Level ya AZAM ni kuishindanisha na STARTIMES ambayo hiko HOOOOOOOIIII
 
DSTV is the best
 
Huna lolote zaidi ya udini,kila bidhaa na mteja wake hakuna anayelazimishwa kipi anunue
 
Azam tv ukitoa ligi ya CCM/Simba na Yanga na MAIGIZO unabaki na nini!
 
Nyamuswa ipo Bunda sio Butiama ukiondoa mpira DStv hawana contents za Kuvutia tulishhakuwa huko kote DStv na Azam. Ukiondoa channels michezo ambazo ni ubora wa picha ni hd nyingi ni SD au mp4 ambazo zimeanzia kupitwa na wakati. Azam ni nzuri kuangalia na familia kwa sababu wanadhibiti maudhui yasiyofaa.

Njoo Bein Sports huku kuna hd,uhd/4k
 

Mkuu unaijua DSTV kweli au unasimuliwaga?,yaani DSTV siyo HD,4K?

Hata ukuondoa Mpira bado DSTV anabaki the best kwasababu kuna Channel za kutosha na nzuri,hao Azam ukiondoa NBC inabaki nini?

Hao bein wenyewe ni michezo tu hawana cha maana!

Mkuu unaijua DSTV PREMIUM? au unaisikiaga tu?
 
DStv hawana channel ya uhd/4k wana HD peke yake na ni chache. Nyingi ni SD

Nafahamu packages na pay tv nyingi za nje na ndani. Nyingi nimeshazitumia, beIN sports uwe unaangalia moja kwa moja toka Satellites zao wanazorushia (7w/8w/25w) ndio utaona ubora wao sio hizo za kwenye cable TV.
 
Wewe ni Gentamycin, lugha yako inajidhihurisha.

Kwa mfano, unapenda kuchanganya herufi kubwa na ndogo kwa maneno ya kawaida. Nilishakuonya wewe kama wewe kwa sababu huwa unajinasibu ulisoma Mass Communication chuo bora SAUT!
 
KUMBE KUNA 'WAJINGA' WANAWEZA KULINGANISHA DSTV NA UPUUZI HUU WA AZAM?
HII NCHI UHURU UMEZIDI SANA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…