and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Husifikiri nimeandika kwa ajili yangu. Si umeona nilikula nikaodoka. Nimeandika kwa sababu hili suala la kutokuiwa serious kwenye kazi ni corss-cutting na likatuhus sector karibu zote za services; maofisini, kwenye wakandarasi, mashuleni, vyuoni, mashambabi etc kwa hiyo nimeandika kwa ajili yetu sote ili tubadilike. Na hili la kutoshout kwenye uvundo pia ni udhaifu wetu;eti si ungekula na kuondoka , na wewe basi si ungepita tu bila kusoma na kuondoka, au si ungesoma halafu ukaondoka zako ukawaacha waelewa wachangieSi uende ukale hotel nyingine? Acha ukuda.
Husifikiri nimeandika kwa ajili yangu. Si umeona nilikula nikaondoka. Nimeandika kwa sababu hili suala la kutokuwa serious kwenye kazi ni cross-cutting na linahusu sector karibu zote za services; maofisini, kwenye wakandarasi, mashuleni, vyuoni, mashambabi etc kwa hiyo nimeandika kwa ajili yetu sote ili tubadilike. Na hili la kutoshout, kuogopa kushout kwenye uvundo pia ni udhaifu wetu;eti si ungekula na kuondoka , na wewe basi si ungepita tu bila kusoma na kuondoka, au si ungesoma halafu ukaondoka zako ukawaacha waelewa wachangie