Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao

Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
Na we katafute sifa unayoweza kuipata, shida ni wivu kwa kuwa huna uwezo wa kupata prefix yoyote. Tulia dogo kubali matokeo uwezo wako ni mdogo
 
Watu hatujui ni wakati gani hizo salutations zinatumika. Daktari wa binadam (physician) ni halali kuitwa mahala popote kama Dkt. maana yeye anaweza kutoa huduma ya kitabibu wakati wowote na mahali popte. Kwa wenzetu ukiitwa Dkt. tafsiri inayokuja ya haraka ni yule wa binadam.
 
Nadhani hii huchagizwa na inferiority complex iliyopo ndani ya watu. Kwamba asipoweka hiyo initial ni kama hamtamtambua
Kazi ni kipimo cha Utu, Ni ngumu kutaka kutambulika kwa Initial fulani kama hauifanyii kazi! Piga kazi watu watakuwa wanakuita wenyewe tuu! Mwl Julius Nyerere...
 
Artist LOTH HEMA, Mwalimu LOTH HEMA, painter, printer, carpenter, profesa LOTH HEMA, sipati picha kila mtu akianza kuitwa jina lake kwa kuanza kutaja fani/taaluma yake
Imagine kwenye jf party wananitambulisha here comes mgegedaji mzabzab 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kuna mwamba alitoa angalizo kuwa wenye doctorate either za kusomea au za heshima wasianze kujiita kwa initial ya Dr, hii Dr itumiwe na madaktari as in physicians.
Nchi zilizoendelea huwez kuta hadharan wanajiita dr hiv dr vile. Majina ya kawaida, au kama wana vyeo vya kijeshi wanawnzia cheo cha kijeshi

Ila kwenye cv zao unakuta wana phd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…