Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Mmmh, "Pombe haina Deni" labda ndiyo hizi PhD tele tele bwerere. !Sasa hivi imekuwa order of the day. Mtajuaje kama ana PhD asipojitambulisha na hiyo title ?
Aisee nimecheka mnoNyerere alikuwa na phd ila hakuwahi jiita dokta nyerere. Mzee alikuwa anajitambua na kuishi kwa maadili ya uongozi sana.
Ila hawa wasasa utasikia, Mheshimiwa Professor Dokta engineer CPA advocate James Musimbugwane.
Sijui huwa wanahisi hizi title zinawapa mileage gani eneo la heshima wapuuzi hawa
Pia kuna,🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 JEM ndo Nini Mkuu
Jamii Forum Expert Member 😂
Soma asili ya neno Doctor, limetokana na neno la kilatini docere likimaanisha mwalimu au mkufunzi so PhD holders ndio wenye haki ya kuitwa doctor, hao matabibu siyo madaktariHakika, udaktri ni special career
Veta (T) King KongCc: CPA Makalla.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Eli Cohen
Nina mwaliko wa kuhudhuria, Malumbano ya Hoja
Sasa Ile siku nikipewa mic nitajitambulisha
Kuwa .... Aaaah Asante sana kwa nafasi hii,
Afu hii, sio sahihi kusema kwa majina yangu naitwa 😂
Bali jina langu ni .... Kwa hiyo hapo nimevaa mayeno mkanda njeeee!
Kwa jina naitwa JEM MAKUTOPORA MTAMBAAWASWALA
Watu hapo wanaogopa. Wanasema Duh Kijana mdogo hivi kumbe JEM 😂😂😂
Nchi hii tunashindana kwa titles. Kwa sasa hata ile heshima ya kuitwa Dr. inapungua kwani kila mmojawetu anataka awe Daktari kwa udi na uvumba. Kibaya zaidi , hizi digrii za mchongo ambazo watu wanatunukiwa zinaleta kizaazaa si tu huku mitaani bali hata ndani ya Bunge letu Tukufu. Ukiwa zuzu uonapo mtu anakuita kwa kutumia hiyo title unavimba kichwa na kuona ufahari. Ukweli ni kwamba kwa ndani anakusanifu tu, kuna kitu anakitafuta kutoka kwako. Chukua tahadhari.Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
Eng ni taaluma yake aliyo somea, halali yake.Ni ulimbukeni tu, kuna mwingine anaitwa Eng. kila mahali wakati kazi yake kubwa ni siasa za mpira!
Uko sahihi kabisa Mr Lincoln Sibeko, habari za hapo The Horizon Deep, lini mnaturudishia Isidingo the Need?Kuna mwamba alitoa angalizo kuwa wenye doctorate either za kusomea au za heshima wasianze kujiita kwa initial ya Dr, hii Dr itumiwe na madaktari as in physicians.
Tumemalizana na Isidingo The Need mkuu wangu, sasa hivi tupo na Adulting, tamthilia moja matata sana.Uko sahihi kabisa Mr Lincoln Sibeko, habari za hapo The Horizon Deep, lini mnaturudishia Isidingo the Need?
Ngoja niifatilie, all in all Isidingo itabaki kuwa soap opera bora ya wakati wote kuwahi kuonyeshwa hapa Tanzania, very talented actors, wanajua sana kazi yao, Namiss zile pisi kali mfano Nina Zamdela, Zukhisa, Nikiwe, Lerato, Kathlego n.k, pia wale giants kama Lincoln & Jeff Sibeko, Zeb Matabane, Eddie Holmes, Setchaba ,etc.I miss those golden momentsTumemalizana na Isidingo The Need mkuu wangu, sasa hivi tupo na Adulting, tamthilia moja matata sana.
Kwa kweli, ilikuwa na characters wenye uwezo mkubwa sana, ilidumu miaka mingi sana na ilipendwa sanaNgoja niifatilie, all in all Isidingo itabaki kuwa soap opera bora ya wakati wote kuwahi kuonyeshwa hapa Tanzania, very talented actors, wanajua sana kazi yao, Namiss zile pisi kali mfano Nina Zamdela, Zukhisa, Nikiwe, Lerato, Kathlego n.k, pia wale giants kama Lincoln & Jeff Sibeko, Zeb Matabane, Eddie Holmes, Setchaba ,etc.I miss those golden moments