Wabongo tuna sifa, sasa hadi CPA wameifanya kuwa kama Mr, Mrs, Dr, Sr katika majina yao


Kuna lecturer mmoja alikuwa anataka aitwe Prof. Dr ............

Mwisho ya yote wakasome VETA🐼

yatosha Prof
 
Ngoja na sisi expert members wa JF tuanze kutanguliza initial za JEM kwenye majina yetu
Kaka yangu ni Engineer, anavyojiita jina lake anatanguliza Engineer So, and so. Paskali Mayalla atajiita Wakili msomi (Kuna wakili asiye msomi), huyo Makalla anajiita CPA Makalla(Sijaona sehemu nyingine wakijiita hivyo)
Samia, na Jakaya Kikwete hizo Ph.D zao fake ziondoke, hao aidha wanazo degree ya kwanza na yule mwingine (Mama) sijui anayo nini......Labda Stashahada au Astashahada. Kimsingi Honoris Causa siyo ya kujiita hivyo muda wote, utajiita wakati wa kutoa degree kwa waliohitimu. Mbona Obama alikuwa ana J.D mbona hakuwa anajiita DR? Acheni umbumbumbu, tumieni majina yetu bila hivyo vyeo vya kujipatia kwa nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…