Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

Wabongo tungekuwa tunaaminiana vijana tungepata fursa hii kwenye majiji yenye foleni mfn. Dar

big dreamer

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
399
Reaction score
1,076
Kwenye folen kuna fursa hii pia.

FB_IMG_1705484314115.jpg
 
Kwenye folen kuna fursa hii pia
Mwe,mwe, mweee. Yan unaigawa gari yako kiulaini hivyo aisee? Bora hata ungesema watu wabadilike na kutumia kwenda kwa miguu au baiskeli kwa zile safari fupi-fupi badala ya gari.
 
Mwe,mwe, mweee. Yan unaigawa gari yako kiulaini hivyo aisee? Bora hata ungesema watu wabadilike na kutumia kwenda kwa miguu au baiskeli kwa zile safari fupi-fupi badala ya gari.
Nadhani ingetokea kampun iliyosajiliwa na serikali na kupewa vibali vyote uwenda wangefanya kwa uaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta vijana anzisha kampuni na uisajili kabisa, itangaze uone majibu
 
Nadhani ingetokea kampun iliyosajiliwa na serikali na kupewa vibali vyote uwenda wangefanya kwa uaminifu

Sent using Jamii Forums mobile app
We bhana wee! Kampuni iliyosajiliwa na Serikali? si itakuwa ni hawa hawa wabongo? Yan kila kitu cha Mbogo kimekaa kiujanja ujanja. Kampuni za nje ndo usipime, zinapigwa vita mno - ni balaa.
 
Sasa hata hao brela unaenda kusajili ni wapigaji. Kikubwa hii nchi ni ngono tu na mkono kwenda kinywani baas ukisubiria siku yako ya kufa.
Duh! Umekuwa mkali kweli -kweli lakini usikate tamaa. Fanya kwa kadiri ya uwezo wako ulivyojaaliwa.
 
Back
Top Bottom