Wabongo wampelekea moto Tyrese baada ya kumpost Samia na kumsifia hadi akaifuta post yake

Tofautisha demokrasia/uhuru wa maoni na kumsifia muuaji. Ni sawa na mtu amtetee Epstein eti demokrasia nani atakuelewa?
Duniani hayupo Mtu Mwema kwa watu wote na hakuna Mbaya kwa watu wote, that's why hata Muhammad na Yesu walipigwa vita lkn wapo pia waliolia sana tu kwa vifo vya kina Hitler, Idd Amin Dada, Firauni nk.
So ikiwa chama ni cha Kidemokrasia kweli basi kubalini wenye mawazo tofauti na nyie. Msitulazimishe kuyatazama mambo kama mnavyoyatazama huko CDM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…