Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta.
Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali.
Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna majinga yamejirudisha kum follow upya .
Marioo juzi kabla hajatoa wimbo wake alitema shiti za waziwazi, alisema atatoa wimbo na taka msitake mtaenda wenyewe kutazama ,na kweli leo kaachia wimbo views ni wengi kimtindo,
Wakati huo naona hiyo post wali screenshot huo wimbo views walikuwa 81K ndani ya masaa 4 , nilitamani angepata anguko kama la Jux , views elfu 8 ndani ya masaa 24.
Kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa wasanii wakaandaa show na wakajaza vilevile. Tena kama watafanya bure ndio kabisa watawakamata wengi.
Inaboa inakera, ile nguvu tuliyoanza nayo naona inazidi kushuka kila kukicha ,na mpaka kufikia January hapo katikati ni wachache sana ambao tutaendelea kuwa na misimamo yetu ila wajinga wengi watakuwa wameshasalimu amri.