Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Elimi ya mitandao bado sana
Unapiga kelele kwani hauna kazi ya kufanya?😅😅Hujitambui
Ngumu sana.Watu wanaambiwa wawapuuze wasanii uchwara wasi-like wala ku-comment kwenye post zao lakini unawakuta wanaenda kubishana nao hata kama wanawachukia kweli. Ujinga ni mzigo sana. Kazi anayoifanya Mange na wanaharakati wengine ya kuwaelimisha wajinga ni ngumu sana.
Mtupe updates show ya Nandy machupi huko ArushaNgumu sana.
Amefanya lini?Mtupe updates show ya Nandy machupi huko Arusha