Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ficha upumbavu wako.Msipangie watu maisha
Kila mtu aishi maisha yake
Kwa kweli.Watanzania wengi hawajui nini wanataka wanamchokesha TAL bure tu.
Ahahahah wewe umeina screenshot wapi,??Nimesikitika kuona wabongo wanajirudi tena kwa wasanii kama mazezeta.
Idadi ya followers kwa wasanii inaanza kurudi kwa kasi kama hapo awali.
Mfano huyu diamond nyodo anawaletea na bado kuna majinga yamejirudisha kum follow upya .
Marioo juzi kabla hajatoa wimbo wake alitema shiti za waziwazi, alisema atatoa wimbo na taka msitake mtaenda wenyewe kutazama ,na kweli leo kaachia wimbo views ni wengi kimtindo,
Wakati huo naona hiyo post wali screenshot huo wimbo views walikuwa 81K ndani ya masaa 4 , nilitamani angepata anguko kama la Jux , views elfu 8 ndani ya masaa 24.
Kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa wasanii wakaandaa show na wakajaza vilevile. Tena kama watafanya bure ndio kabisa watawakamata wengi.
Inaboa inakera, ile nguvu tuliyoanza nayo naona inazidi kushuka kila kukicha ,na mpaka kufikia January hapo katikati ni wachache sana ambao tutaendelea kuwa na misimamo yetu ila wajinga wengi watakuwa wameshasalimu amri.
Hampendi kuambiwa ukweli, sio kila mtu afikirie au aamini unachoamini weweFicha upumbavu wako.
Yani ni sawa na kupiga hatua moja mbele kisha hatua tatu nyuma.Nchi hii ina akiba ya kutosha ya wapumbavu ndio maana hata samia anatufanyia vituko anavyotaka na hao machawa wataendelea kuwatusi wapumbavu
Wahi lumumba ukapokee buku 7 yako.Hampendi kuambiwa ukweli, sio kila mtu afikirie au aamini unachoamini wewe
Na kwa kushindwa kuelewa hilo ndio mnadhihirisha umbulula wenu
Huu mdio ukweli bwana HanceYani ni sawa na kupiga hatua moja mbele kisha hatua tatu nyuma.
Hao wasanii bila shaka ni wao tu wenyewe wanajiogopa wakiandaa show watawapata tu wajinga wengi.
Watz ni wanafiki wanabadilika kama kinyonga, na hii ni tabia ya watu wasiokuwa na msimamo thabiti na wasiojua nini wanataka. Yaani bora liendeKwa kweli.
Halafu kesho na kesho kutwa akiamua aishi maisha yake nje na siasa anaonekana msaliti .
Sikiliza kilazaWahi lumumba ukapokee buku 7 yako.
Watz tungekuwa na misimamo kama waumini wa Gwajima hakika tungefika mbali sana.Huu mdio ukweli bwana Hance
Tatizo wana ubongo kama wa kenge majiWaafrika tunaakili ya kusahau haraka. Akili ya kuku.
Upumbavu hautakaa ukuishe.Sikiliza kilaza
Wewe hata kula yako ya shida halafu tuseme unashindana na huyu wanamuita marioo kuhakikisha watu wahasikiliza miziki yake, yeye ana Sbscribers millioni mbili, sasa tuangalie anapata hela gani kwa mwenzi sio kwa muziki bali kuwa na hao subscribers,
Acha kupoteza muda wako, kafanye kazi, au tafuta hela
Dayamondi na millioni 10, sasa huyo anapata ngapi ?
sijui unashindana nao nini, wewe shika yako, hao wanaishi maisha ambayo hakuna yeyeto katika ukoo wenu atakuja kuyaishi
View attachment 3515986
View attachment 3515987
"He who knows not and knows that he knows not, is a Fool, Teach him"Upumbavu hautakaa ukuishe.