Wabongo wengi hawana mikazo, wameshaanza kuwashobokea tena wasanii licha ya kudhihakiwa

Ngumu sana.
 
Hata wanasiasa wa nchi hii wanatuona watanzania tu wapumbavu sana. Na ndio kweli huo tuko kama manyumbu.
 
Mm mbona sijui hyo mambo
Ww itakua unawafatilia mm mbona sijayasikia hayo ulosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…