Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Uko sawa kabisa. Mimi nimeishi Washington DC kwa muda wa miezi sita kama mwanafunzi kwa kweli maisha ya Marekani ni magumu sana. Ni vigumu kuweka akiba. Tunasema ni Hand to mouth. Hakuna cha bure. Mshahara wako unaoupokea unakwisha wote mwisho wa mwezi. Wenzetu wa Ubalozini kwetu ni watu ambao hawawezi kukukaribisha kwake kutokana na ugumu wa maisha. Kuna bar moja ya mtu wa Kenya inayoitwa Kilimanjaro ndo mara chache sana mnakutana na waafrika wenzako. Ndugu yangu ogopa kwenda Marekani kama Ukoma kule siyo mahala pa kwenda hata kama unapata $8,000 kwa mwezi. Hakuna rafiki. Rafiki yako ni pesa yako na passport yako.
 
Hivi ni kweli huko Kwa watasha mnakula vibibi TU au single mothers.
Lakini SI pisi zile Kali .
Nenda Youtube, kuna page inaitwa "Jack wa USA" katazame mambo makubwa anayoyafanya kijana mdogo... Very creative! Kama una akili utajifunza mengi.

Mademu under 30 kibao wako single tena warahisi kama kukapua macho, wanaokula single mothers na vibibi ni interest zao.

Na nikuulize swali moja na wewe... wale wazungu wanaobanduliwa kule Arusha umasaini na Zanzibar na vijana wadogo wote ni mabibi na Single mothers?! Nani alikukaririsheni hilo?! Hujawahi kuona vijana wengi tu wakiwa na gf's wa kizungu wa age zao?! Ficha ujinga wako
 
Wabongo wengi wangapi?

Utafiti upi uliufanya kupata idadi ya wabongo waliofanikiwa na ambao hawaja fanikiwa kwenye hizo nchi?

Au ni perception zako tu?

Isitoshe hata passport huna.

Kaa bongo ukamuliwe tozo.
 
Aiseeee inafikirsha,mtu anakwambia kwa saa analipwa usd 30 na anafanya kazi saa 16 ,means anaingiza karibu 480usd per day ,kwa mwezi means anaingia USD 14,400/=(Roughly 35m kwa mwezi).....Lakini home anatuma dola 100 kwa mwezi tena kwa mbinde ,na ukihitaji hiyo usd 100 inabidi umpigie simu mwezi mmoja kabla hapo hapo hana.
 
Hao unaosema wengi wao amekurupuka, mbona kuna wengi sana wanaishi maisha mazuri tu.

Ukitaka kuishi vizuri nchi hizo, wachana kabisa kuwa karibu na wabongo na magenge yasiyo na maana.

Nawashauri wanaokwenda huko, kama hawana mipango thabiti na ya uhakika basi wakaanzie maisha miji midogo midogo ambayo haina wabongo.
Bibi leo umeongea pointi nime nukuu..[emoji3578]
 
Maisha ni popote ila kwenye za dunia ya kwanza kuna opportunities nyingi kuliko third world na living standards ni juu kuliko third world, kuna elimu nzuri, huduma nzuri za afya, na za kijamii, malipo ni makubwa kwenye kazi , kama huyo ndugu yako kashindwa itakuwa ni matatizo yake binafsi wengine walevi nakadhalika ila huwezi ukasema bongo ni bora kuliko marekani ki maisha utakuwa unajidanganya
Shida ni kwamba nchi Kama Marekani ukiwa na vibali halali, ukakubali kusoma upya ukapata vyeti vyao uhakika wa kutoboa ni mkubwa
 
Wabongo wengi wangapi?

Utafiti upi uliufanya kupata idadi ya wabongo waliofanikiwa na ambao hawaja fanikiwa kwenye hizo nchi?

Au ni perception zako tu?

Isitoshe hata passport huna.

Kaa bongo ukamuliwe tozo.
Kama ikiuma unaweza kuchomoa,usipochomoa shauri yako!
 
Shemeji unaitwa huku Kiranga ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dada Joannah shemeji una uhakika Leo alikunywa chai au kuna vitu vingine alikunywa ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธโ€โ™€๏ธ
Watanzania bado hamjaacha mtindo wa kuishi kwa kuchunguza maisha ya watu tu?

Mimi nipo naangalia Hedge Funds huku.

Unajua Hedge Fund ni nini wewe?
 
Back
Top Bottom