Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

[emoji38][emoji38][emoji38]

Yani mtu uache kutimkia US ubanane hapa matako na maccm

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
mtoa mada hajielewi,ajiulize why watu wa mikoani wanakimbilia dar??Kwenye miji mikubwa iliyoendelea kuna fursa nyingi na mzunguko mkubwa wa pesa,frank sinatra alishasema "if you can make it here(NYC)You can make it anywhere" kufeli kwa massawe na kiria hakufanyi wachaga wasije dar,what about mengi??angalia waliofaulu
 
Sasa Brother kama ni hivyo si bora mtu ukaja Ujerumani. Maana huku ukija na cheti chako ufanyiwa training ya wiki sita then unaanza kazi. Na kuna uhaba wa skilled labour. Changamoto ni lugha tu.
Toa connection ya ujerumani tuje mkuu! Tuungalishe na makampuni hayo kiongozi Au kuwa ajenti tukusogezee mitonyo

Kiroho safi kunjua moyo mkuu tukuze uchumi wa familia na taifa
 
🀣🀣🀣🀣🀣 khaaaaa!!
Nimecheka mpk mbavu zimeniuma
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Aloooo!! Leo umekunywa nini sisy??
Itabidi upimwe mkojo, nina wasiwasi kuna kitu umetumia!
 
Go get fucked a dirty ass moron.


Now you deserve my ignore list Button...
Mtoto wa raisi mwenye misimamo una surrender vipi kirahisi hivi?? Emu usimu ignore mrembo tuendelee bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Afu utashangaa anakuja mkeo kipenzi
 
Scandinavia ni nchi ambazo naweza ku-recommend mtu kuishi na possibly Canada pia. Sijawahi kukaa Uingereza lakini nadhani kwa mtu ambaye tuseme anakwenda kusoma Uingereza, mnaobaki hapa nchini mnatakiwa kuandaa mpango maalum wa kuja kumpa msaada pindi atakapokuwa amemaliza masomo yake huko na hatmaye kurudi nyumbani
 
Toa connection ya ujerumani tuje mkuu! Tuungalishe na makampuni hayo kiongozi Au kuwa ajenti tukusogezee mitonyo

Kiroho safi kunjua moyo mkuu tukuze uchumi wa familia na taifa
Haina haja ya malipo hakikisha una Degree au Bachelor's . Then unachukua kozi ya kijerumani na unafanya mtihani Goethe. Then unappply kazi kwenye website zao. Kuna kazi wanakulipia hadi nauli ya ndege nyingine hnajilipia lakini ukifika huku wanakupa nakaza na hela ya kuanzia maisha ukisubiri mshahara. Kazi zinazohitaji watu wengi ni IT na sekta ya afya. NB. Inabidi uijue kazi na uipende. Usije kwa njia ya kuzamia utajuta.
 
Lugha ya kijerumani level gani? Na ada ni kiasi gani? Mpka cheti?

Au ata nikisoma mtaani inafaa?
 
izo nchi zote nishatembea,wabongo wote wanaoishi nchi za wazungu, wana maisha magumu hata kama wakiwa na pesa. ni third class. huko huwa tunaenda kutafuta pesa tukipata tunarudi kuja kufanya ujasiriamali bongo ila kuishi huko kama kwenu, hautakuja kupata furaha na heshima ya kweli. no offence.
 
Li mtu Lina koroma club house 24 hrs sijui kazi gani wanafanya na saa ngapi ila ukisikia sauti zao ni kama wapo rizim masaa yote. Halafu wanadai uraia pacha
 
inategemea na career uliochagua computer science,udaktari etc,kuna baadhi wenye hizo taaluma wapo vizuri kifedha kuna mmoja amejenga hadi shule.
 
Huu ni ujinga, yaani utoke majuu uje Tanzania na kuanza kugawa tu hela hata kwa teja kisa ni mshikaji? Badilikeni jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…