Wabongo wengi wanaoishi Marekani wana maisha magumu tofauti na wale wanaoishi nchi za Scandinavian

Wewe ushangai kwanini Polisi wa Marekani wana wapiga risasi watu weusi bira sababu na siyo watu weupe, we ilishawahi kusikia Polisi kaua raia wakizungu uko Marekani?
 
Hapana mkuu na kupinga nchi zetu zina fursa nyingi kuliko nchi za ulaya, kwa Hapa Tanzania unaweza ukaanza chini kibiashara na ukapanda mpaka ukamfikia Mengi, Tofauti na Ulaya ,, Masikini wa Ulaya hana ndoto za kuwa Tajiri kwa sababu ya mifumo.
 
Hapana mkuu na kupinga nchi zetu zina fursa nyingi kuliko nchi za ulaya, kwa Hapa Tanzania unaweza ukaanza chini kibiashara na ukapanda mpaka ukamfikia Mengi, Tofauti na Ulaya ,, Masikini wa Ulaya hana ndoto za kuwa Tajiri kwa sababu ya mifumo.
Kumfikia Mengi Umri labda mkuu...toa mifano ya waliomfikia Mengi..
 
Wewe ushangai kwanini Polisi wa Marekani wana wapiga risasi watu weusi bira sababu na siyo watu weupe, we ilishawahi kusikia Polisi kaua raia wakizungu uko Marekani?
Aisee. Kabla hatujajadili mada rudi shule ukajifunze kuandika.
 
Ningekunyamanzia ingekuwa bora zaidi
Mkuu mimi lengo langu la kukuelewesha ni kuwa kama mtu anataka kwenda nchi za dunia ya kwanza akiwa hana elimu Marekani patamfaa. Lakini kama ana elimu na ana Ujuzi wa taaluma aje Europe especially Germany maana huku kuna uhaba wa skilled labour. Na mazingira ya kazi yapo splendid sana. Lakini Ujerumani kwenye kazi za taaluma papo poamno ndugu.
 
Bora ukae kimya tu. jiulize swali moja tu, kwanini marekani kuna wageni wengi, kwanini Marekani ni ndoto ya wengi, kwanini balozi zinajaa watu kuomba visa. hilo tu linatosha
American dream
 
Mkuu ukienda Marekani kutajirika haiwezekani lakini ukiishi Tanzania kutajirika inawezekana kabisa.
Maisha ni mpangilio na vipaumbele....kama sio mtu wa starehe...Marekani unatajirika kwa muda mfupi sana,...mfano. kazi ya kutunza wazee unapata wastani wa sh.milioni 7 kwa mwezi..ukituma kwenye bank ya nyumbani m.5 kila mwezi baada ya miaka mitatu unarudi nyumbani na akaunti yako inasoma m.180.AKILI KU MKICHWA.
 
Watu wanafanya biashara somalia na Pakistani kwenye vita sembuse Tanzania!

We endelea kulialia wahindi wanafanya biashara kama kawaida !

Wachina wanazidi kumiminika Tanzania


Huyu ni mchina na familia yake wanashuka Dar Tarehe 19 March 2024. Wanakuja kufanya research ya kutanua baishara zao Tanzania!


Sasa wewe endelea kusema Tanzania Kuna mazingira mabaya ya baishara! Ni kweli Kuna mazingira sio mazuri ila lazima upambane hivyo hivyo.

 

Attachments

  • markup_1000104419.jpg
    65.4 KB · Views: 5
Stori za vijiwen. Huko Marekani utakua hautumii Chochote sio?
 
Reactions: Tui
Wajanja ni wale wasiochagua kazi, nasikia kazi za ndani zinalipa, kuzibua vyoo, na kupalilia bustani. Wakija bongo hawasemi kazi zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…