mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Mkia?Umeambiwa mafanikio yake ni
1. TV inchi 65
2. Mke mwenye ''mkia'' wa maana na watoto
3. Kununua vitu super market
4. Kausafiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkia?Umeambiwa mafanikio yake ni
1. TV inchi 65
2. Mke mwenye ''mkia'' wa maana na watoto
3. Kununua vitu super market
4. Kausafiri.
Mkuu ukienda Marekani kutajirika haiwezekani lakini ukiishi Tanzania kutajirika inawezekana kabisa.Sure mkuu mimi ninao kibao nawafahamu na maisha yao ni choka mbaya!
Wewe ushangai kwanini Polisi wa Marekani wana wapiga risasi watu weusi bira sababu na siyo watu weupe, we ilishawahi kusikia Polisi kaua raia wakizungu uko Marekani?Wewe unadhani Afrika ndiko kwenye uhuru zaidi? Mimi nadhani hili ni jambo lililopo kwenye akili yako zaidi kuliko uhasilia. Ukiwa majuu ukikutana na mzungu levi akikuambia fuc*k unaumia zaidi na kuona umebaguliwa kwa sababu ya rangi yako lakini ukiwa Bongo mlevi akikumbia ''mbwa we'' wewe unasema ''nimekutana na mlevi anatukana hovyo japo anatia huruma''. Hivyo hivyo ukilalamikia jambo na ukiambiwa rudi kwenu unaona ni ubaguzi, lakini ukiwa Bongo Mwingulu akikuambia hamia Burundi unaona ni sawa.
Hapana mkuu na kupinga nchi zetu zina fursa nyingi kuliko nchi za ulaya, kwa Hapa Tanzania unaweza ukaanza chini kibiashara na ukapanda mpaka ukamfikia Mengi, Tofauti na Ulaya ,, Masikini wa Ulaya hana ndoto za kuwa Tajiri kwa sababu ya mifumo.Pana vitu mnachanganya sana Nchi zilizoendelea zina fursa kuliko Nchi zetu kwa hiyo kuwa huko sio kigezo cha wewe kuendelea kama haujitumi na hujui umefata nini huko kupata mafanikio au Mtaji Nchi za Ulaya ni rahisi kuliko Nchi zetu labda ushikwe Mkono lakini Nchi zilizoendelea unaweza kujipa malengo ufanye nini baada ya muda fulani kuferi kwa baadhi ya watoto wa Mama isiwe case study ya mnachoongea maana wengi ya wanaojituma huko wapo vizuri sana na pia kwa kuwa hawatoi password kirahisi ndio maana wengi wanafurahi kudhani inawezekana asilimia kubwa wapo choka mbaya kumbe sio kweli...
Kumfikia Mengi Umri labda mkuu...toa mifano ya waliomfikia Mengi..Hapana mkuu na kupinga nchi zetu zina fursa nyingi kuliko nchi za ulaya, kwa Hapa Tanzania unaweza ukaanza chini kibiashara na ukapanda mpaka ukamfikia Mengi, Tofauti na Ulaya ,, Masikini wa Ulaya hana ndoto za kuwa Tajiri kwa sababu ya mifumo.
Aisee. Kabla hatujajadili mada rudi shule ukajifunze kuandika.Wewe ushangai kwanini Polisi wa Marekani wana wapiga risasi watu weusi bira sababu na siyo watu weupe, we ilishawahi kusikia Polisi kaua raia wakizungu uko Marekani?
Mkuu mimi lengo langu la kukuelewesha ni kuwa kama mtu anataka kwenda nchi za dunia ya kwanza akiwa hana elimu Marekani patamfaa. Lakini kama ana elimu na ana Ujuzi wa taaluma aje Europe especially Germany maana huku kuna uhaba wa skilled labour. Na mazingira ya kazi yapo splendid sana. Lakini Ujerumani kwenye kazi za taaluma papo poamno ndugu.Ningekunyamanzia ingekuwa bora zaidi
Macho_mdiliko ni ngumu wote tukaenda shule mazee...Aisee. Kabla hatujajadili mada rudi shule ukajifunze kuandika.
Jamaa kaenda lakini hajaelimika.Macho_mdiliko ni ngumu wote tukaenda shule mazee...
Inawezekana Mkuu..Jamaa kaenda lakini hajaelimika.
We upo Tanzania tuonyeshe utajiri wako bossMkuu ukienda Marekani kutajirika haiwezekani lakini ukiishi Tanzania kutajirika inawezekana kabisa.
American dreamBora ukae kimya tu. jiulize swali moja tu, kwanini marekani kuna wageni wengi, kwanini Marekani ni ndoto ya wengi, kwanini balozi zinajaa watu kuomba visa. hilo tu linatosha
Maisha ni mpangilio na vipaumbele....kama sio mtu wa starehe...Marekani unatajirika kwa muda mfupi sana,...mfano. kazi ya kutunza wazee unapata wastani wa sh.milioni 7 kwa mwezi..ukituma kwenye bank ya nyumbani m.5 kila mwezi baada ya miaka mitatu unarudi nyumbani na akaunti yako inasoma m.180.AKILI KU MKICHWA.Mkuu ukienda Marekani kutajirika haiwezekani lakini ukiishi Tanzania kutajirika inawezekana kabisa.
Watu wanafanya biashara somalia na Pakistani kwenye vita sembuse Tanzania!Biashara gani Tz utafanya kwa mafanikio? Watu wanakuja kuwekeza, wanaishia kila siku kuandamwa na kodi, ushuru na ada zisizoeleweka, bado hujaingelea rushwa na wizi. Taratibu, mikataba, haiheshimiwi, haifuatwi, ila kauli ya ccm. WaTz wa Scandinavia waliwekeza Bagamoyo, kwa kukaribishwa na awamu ya 4, imekuja ya 5, hawatakiwi tena.
Kila siku kuchomeana moto biashara, mara pesa zinashiliwa benki, umeswekwa ndani, bado hujapigwa marufuku usiuze mazao nje, yaliyokutoa jasho na pesa kipinfi chote cha kilimo.
Ni biashara gani utaifanya kwa uhakika Tz?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Stori za vijiwen. Huko Marekani utakua hautumii Chochote sio?Maisha ni mpangilio na vipaumbele....kama sio mtu wa starehe...Marekani unatajirika kwa muda mfupi sana,...mfano. kazi ya kutunza wazee unapata wastani wa sh.milioni 7 kwa mwezi..ukituma kwenye bank ya nyumbani m.5 kila mwezi baada ya miaka mitatu unarudi nyumbani na akaunti yako inasoma m.180.AKILI KU MKICHWA.
Watu wa hivyo mpoStori za vijiwen. Huko Marekani utakua hautumii Chochote sio?
Maisha popote ila usizidishe chumvi. Wapo wakinga NI mabilionea hapa hapa bongo. Na hawana Hata passportWatu wa hivyo mpo
Afya ya akili,husikaMaisha popote ila usizidishe chumvi. Wapo wakinga NI mabilionea hapa hapa bongo. Na hawana Hata passport