Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

Wabongo wengi wanaojinadi ni hackers huwa ni kelele tu, kwenye vitendo ni sifuri

Mk
Nadhalia ya watu wengi wanaposikia Hacker wanajua kwamba sehemu yeyote inatumia technology basi unaweza kuhack ila wasichojua ni kwamba kuna njiaa nyingi zinazotumika kwenye hacking

Mfano. Unataka kuni Hack kwenye account yangu ya Jf hapa itakubidi ujue mfumo mzma wa Jf unavyo fanya kazi na account zote zina ifadhiwa vipi taharifa muhimu kwa users wote server zao zinavyo fanya kazi kwa ujumla kisha utaanza kutafuta madhaifu yapo wapi kisha kisha utafanya jambo unalotaka kulifanya.

Mimi naamini hapa Bongo hackers wapo wengi tu ila ni ngumu kuwajua coz taharifa zao wataki ziwe adharani coz kuna mambo kadha yatawabana kama mambo ya kishelia na siwezi kumziaki mtu kama ajui kitu furani.

Mimi kwa mtazamo wangu inabidi tuwasikilize wote hackers na sio hackers tupate maoni yao napenda mijadara kama hii najifunza kitu upitia nyiny
Mkuu account yako ya jf inahackiwa bila hata kujua jinsi mfumo unafanya kazi
 
[emoji320] wewe huoni kama wale wa iringa cjui singida wali hack wakajilipia ada kwa ku gushi wakatishiwa kufukuzwa shule, any way weka card number yako ya benki twende kwa vitendo , waje wakupe mfano
 
Ni wewe tu, huwezi vamia sehemu kwa ufanisi kama hujui hiyo sehemu ilivyo. Na maswala ya kuingilia mifumo ipo hivyo, achana na wao vamia mifumo kwa bahatisha ambao mwisho wa siku hupata matokeo hasi
Mimi ni kuna mfumo nilijua weakness yake ulivyo baada ya kupata changamoto kibao, kupoteza muda mwingi na pesa vilevile, mwisho wa siku nakuja kugundua kuambe hizi system hazin mwasiliani ukitumij njiaa A lakini ukitumia nji B lazima udakwe
 
Back
Top Bottom